Kwanini wasanii wengi wa kike wanapenda kupost picha zao za utupu mitandaoni?

MTV MBONGO

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2016
Posts
1,281
Reaction score
1,251
sijui ni kutafuta kick na umaarufu au ni njia ya kutafuta wapenzi. ukigoogle majina ya wasanii wa Bongo utaona picha zao nyingi ni za uchi au nusu uchi. hata wasio wasanii naona nao wanaiga. jamani dada zangu mnajidhalilisha, acheni hiyo tabia!
 
Biashara ni matangazo.
 
Labda wakiona wameshuka kisanii wanapiga hizo picha ili waweze kuzungumziwa na wengine ni biashara wanatangaza
 
Kifesi tumekumiss siku hizi hutaki kuanzishq uzii
 
Hawajui mwenyezi Mungu atawahukumu kwa kuwaingiza wengine kwenye majaribu. Majaribu hayana budi kuja ila ole wake yule anayoyasababisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…