Kwanini wasanii wengi wa Tanzania mafanikio yao hayafanani na muonekano wao?

sumer

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2016
Posts
344
Reaction score
229
Ukiwaona kwenye video ni tofauti na maisha yao halisi.Why?
 
Kwa sababu wengi wanaogopa mafanikio yao yakifanana na muonekano wao basi basata itaufungia muonekano wao na pia ngosha tasema wasanii hawatekelezi sera yake ya kubana matumizi, hasa ile kauli mbiu yake pendwa ya hapa manguvu tu akili nilizisahau mliman wakati nawakilisha thesis ya maganda ya korosho ili kuwa verified as phd holder, ivyo tu ndo mna wengi wao mafanikio yao hayafanani na muonekano wo
 
Sababu ni hiviii wameingiza usanii wao tena kwenye maisha binafsi hivyo kupelekea kushindwa kuishi maisha halisi
 
we mwenyewe profile yako feki na maisha yako yatakuwa hayafanani na picha yako ..hebu piga picha maisha yako na sura yako ili tufananishe kama sura yako imefanana na maisha yako
 
Mara nyingi wanatokea ktk shghuli husika anakua kapewa support lkn kwenye maisha halisi support hakuna.
 
we mwenyewe profile yako feki na maisha yako yatakuwa hayafanani na picha yako ..hebu piga picha maisha yako na sura yako ili tufananishe kama sura yako imefanana na maisha yako
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
WASANII WANAPENDA MAISHA YA JUU,EBU MWANGALIE MSANII KAMA CYRIL KAMIKAZE HANA WIMBO WOWOTE ULIOHIT TANGIA 2008 ALIPOTOA HIT SINGLE NIPO JUU MPAKA LEO ANAEHEMEA PUA MOJA LAKINI MTU WA BATA KUSHINDA KWENYE MAHOTEL NA KUPANGA MIJUMBA MIKUBWA MIKUBWA KAMA HAUZI BIMBWI KAMA WAKACHA MWENZAKE JUX NANI ATABISHA?
 
Kwa sababu wengi wanaogopa mafanikio yao yakifanana na muonekano wao basi basata itaufungia muonekano wao na pia ngosha tasema wasanii hawatekelezi sera yake ya kubana matumizi, hasa ile kauli mbiu yake pendwa ya hapa manguvu tu akili nilizisahau mliman wakati nawakilisha thesis ya maganda ya korosho ili kuwa verified as phd holder, ivyo tu ndo mna wengi wao mafanikio yao hayafanani na muonekano wo
Ngada za mwenyekiti zimeharibu uelewa wako
 
Back
Top Bottom