Mwigizaji wa filamu za Bongo, Jacqueline Wolper
ameamua kushare na followers wake wa
Instagram kitu ambacho kimekuwa kikimsikitisha,
kuona wasanii wa bongo wakiwatumia zaidi video
models wa nje ya Tanzania na kuwaacha wa
hapa.
Hiki ndicho alichoandika Wolper;
?Jamani wapenzi wangu naombeni niwaulize ktu
kimoja ?kuna madada zetu wengi hapa Tanzania
na wakaka wengi wazuri nawakivaa au
kuvalishwa wanapendeza ila Tatizo uwezo tuu?
lengo la haya maneno ni kuuliza na muwatag pia
hawa wanaofanya hvii?okay naanza hvii..ni
kwanini kaka/dada zetu wanamuziki siku hzi
wanaenda kuchukua ma queen/king video njee
ya Tanzania ni kwamba syo wakali kma wa nchi
nyingne? Au wameshuka soko au ndo ile unakuta
ma queen wetu wa vdio kutembea nakila msanii
anaemshirikisha katika vdio nakufikia kushuka
Thamani??
Au Tatizo ni nini haswa Maaana sahvi kila nyimbo
nitayoona au kuombwa kupost nakutana na sura
za ulaya ulaya paka nashindwa kupost kutokana
na najisikia vibaya ajira kupelekwa njee..au la me ndo mshamba labda wa Tz wanapenda kuona ngozi zanjee za hapa zimechuja?? Haya taratibu Tuchangie mada hapa bila kupiga kelele maana aliye madarakani kwa sasa nikishtaq tuu unafwata paka nyumbani haya twendee kazi.. na msisahau kutag wale wanaoenda kuchukua ma model njee.?