Kwanini washabiki wa madrid wanajiamini sana kwenye UEFA?

Kwanini washabiki wa madrid wanajiamini sana kwenye UEFA?

Mimi mshabiki wa Man U lakini Madrid lazima ataitoa PSG. Hizo dakika 180 katika mechi zao mbili Madrid ataibuka mshindi.
 
nimezungumza na washabiki mbali mbali wa madrid,

nilichogundua hawa jamaa wanaiamini timu yao kupita kiasi hasa kwenye UEFA licha ya performance mbovu ya msimu huu.
Je kitu gani wanajivunia zaidi?

catalunya baby.
fc7163fae226655325857d3d353928de.jpg

Where the Magic Begins
 
Madrid kombe la UEFA kachanjiwa nalo kumtoa ni shughuli sana ,alafu licha ya kutokuwa na msimu mzuri laliga bado kikosi chake ni cha gharama na chenye uwezo mkubwa.Mkichambua mchezaji mmoja mmoja kwa nafasi yake ndoo unaweza kupata jibu kuwa PSG ajioange sana .
 
hao ni mabingwa wa kihistoria,wamechukua mara nyingi tena kwa mbali kuliko timu nyingine zote,wakati wewe na timu yako ya katalunya na ujanja wenu wote mmechukua mara 5 tu madrid wamechukua mara 12. Kwanini wasijiamini??Ni kama vile Liverpool kule Uingereza wanavyojiamini,mafanikio yao ya nyuma ya kihistoria yanawapa jeuri ya kujiamini ndio maana Liverpool hata iwe imeoza kiasi gani game kubwa au game na timu kubwa anafanya vizuri au kutoa upinzani wa kikubwa
 
Madrid kombe la UEFA kachanjiwa nalo kumtoa ni shughuli sana ,alafu licha ya kutokuwa na msimu mzuri laliga bado kikosi chake ni cha gharama na chenye uwezo mkubwa.Mkichambua mchezaji mmoja mmoja kwa nafasi yake ndoo unaweza kupata jibu kuwa PSG ajioange sana .
Kikosi cha Madrid na cha Paris kipi cha gharama kubwa?
 
Madrid kombe la UEFA kachanjiwa nalo kumtoa ni shughuli sana ,alafu licha ya kutokuwa na msimu mzuri laliga bado kikosi chake ni cha gharama na chenye uwezo mkubwa.Mkichambua mchezaji mmoja mmoja kwa nafasi yake ndoo unaweza kupata jibu kuwa PSG ajioange sana .
Madrid anapgwa..sioni timu ya kwenda robo pale
 
Mmeshabeti au mnapiga kelele[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Siku zote man united ni wake wa Madrid maana wana kiherehere mno na Madrid
Shabiki wa man u mara nyingi utakuta anashabikia madrid pia na hii imeanza baada ya Munich disaster ilio ikumba man u na jinsi Madrid walivyo waazima wachezaji United
 
Back
Top Bottom