Ally maganga
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 1,433
- 913
subiria leo ndo utajua kwanini wanajiamini....[emoji2] [emoji2] [emoji2]nimezungumza na washabiki mbali mbali wa madrid,
nilichogundua hawa jamaa wanaiamini timu yao kupita kiasi hasa kwenye UEFA licha ya performance mbovu ya msimu huu.
Je kitu gani wanajivunia zaidi?
catalunya baby.
nimezungumza na washabiki mbali mbali wa madrid,
nilichogundua hawa jamaa wanaiamini timu yao kupita kiasi hasa kwenye UEFA licha ya performance mbovu ya msimu huu.
Je kitu gani wanajivunia zaidi?
catalunya baby.
Siku zote man united ni wake wa Madrid maana wana kiherehere mno na MadridMimi mshabiki wa Man U lakini Madrid lazima ataitoa PSG. Hizo dakika 180 katika mechi zao mbili Madrid ataibuka mshindi.
SANTIAGO BERNA LEO
Where the Magic Begins
Kikosi cha Madrid na cha Paris kipi cha gharama kubwa?Madrid kombe la UEFA kachanjiwa nalo kumtoa ni shughuli sana ,alafu licha ya kutokuwa na msimu mzuri laliga bado kikosi chake ni cha gharama na chenye uwezo mkubwa.Mkichambua mchezaji mmoja mmoja kwa nafasi yake ndoo unaweza kupata jibu kuwa PSG ajioange sana .
sasa unalipia king'amuzi Sh 10,000 kwa mwezi afu unataka uone Uefa?Chaneli gani inaonyeshwa hii mechi kwenye decoda ya azam tv
Madrid anapgwa..sioni timu ya kwenda robo paleMadrid kombe la UEFA kachanjiwa nalo kumtoa ni shughuli sana ,alafu licha ya kutokuwa na msimu mzuri laliga bado kikosi chake ni cha gharama na chenye uwezo mkubwa.Mkichambua mchezaji mmoja mmoja kwa nafasi yake ndoo unaweza kupata jibu kuwa PSG ajioange sana .
Shabiki wa man u mara nyingi utakuta anashabikia madrid pia na hii imeanza baada ya Munich disaster ilio ikumba man u na jinsi Madrid walivyo waazima wachezaji UnitedSiku zote man united ni wake wa Madrid maana wana kiherehere mno na Madrid