Mkuu hii kitu ni DSTVChaneli gani inaonyeshwa hii mechi kwenye decoda ya azam tv
Kweli kabixaMinaamini PSG leo ataibuka na ushindi
Kikosi chenye gharama kubwa zaidi ni cha psg .Madrid tangu na tangu UEFA ndio kwake,hata historia inambeba sana,unapoongelea UEFA unaongelea HELA,biashara,fursa.
Kila goli hela,kila hatua hela
Upo mkuuMinaamini PSG leo ataibuka na ushindi
nimezungumza na washabiki mbali mbali wa madrid,
nilichogundua hawa jamaa wanaiamini timu yao kupita kiasi hasa kwenye UEFA licha ya performance mbovu ya msimu huu.
Je kitu gani wanajivunia zaidi?
catalunya baby.
hakuna Munich wala nn..wanamfata ronaldo..wanaamini ni mchezaji waoShabiki wa man u mara nyingi utakuta anashabikia madrid pia na hii imeanza baada ya Munich disaster ilio ikumba man u na jinsi Madrid walivyo waazima wachezaji United
mwanang why kuwanga mchanaMinaamini PSG leo ataibuka na ushindi