Gucci gang
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 2,682
- 5,277
dah kunywa bia ndugu.....subiria leo ndo utajua kwanini wanajiamini....[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Mkuu yakupasa ujiangalie upya yaonesha kila unachoamini unakosea... isije kuwa na imani yako pia unayoiamini upo wrong side😀😀😀😀Minaamini PSG leo ataibuka na ushindi
Mkuu PSG wametuma barua ya Malalamiko UEFA why wanafungwa na Timu za Uhispania... Same kama yale malalamiko ya Tanzania Kupangiwa Misri kila MaraPSG wataitoa Madrid this time..
Madrid ana kibarua kigumu sana Paris aisee....Mkuu PSG wametuma barua ya Malalamiko UEFA why wanafungwa na Timu za Uhispania... Same kama yale malalamiko ya Tanzania Kupangiwa Misri kila Mara
Even PSG too... Ila Madrid atavuka hata akifungwa Moja, Au Mbili basi Mbili kwa MojaMadrid ana kibarua kigumu sana Paris aisee....
Ata wachezaji wa madrid wafungwe vitambaa machoni ..hatoki mtu psg hana ubavu wa kuzuia kupata goli los blancos [HASHTAG]#tukutane[/HASHTAG] march 6Madrid ana kibarua kigumu sana Paris aisee....
Halaa[emoji123][emoji41]Hala madrid
HahahaNeymar jinga sana
Id imekuponzaMinaamini PSG leo ataibuka na ushindi
Hahaha alikurupuka huyo, na kama alibeti pole yakeId imekuponza
Hahaha alibeti huyoHahaha alikurupuka huyo, na kama alibeti pole yake
Maskinii, kashaliwaa [emoji23][emoji28][emoji23]Hahaha alibeti huyo