kama ulikuwa konda au dereva wa zile gari kama mpaka Leo wewe ni masikini basi ukapimwe mkojoMambo vp,
Kwa wale wenzangu na mm tulioyakuta haya makanjanja yaliyokua yanasifika Dar es Salaam na Tanzania Kwa ujumla ma DCM. Aisee hapa nisiwe muongo haya mandinga yako slow kwenye kuchanganya ila yakishaiva ni moto wa kuotea mbali.. Ushawahi kupanda ya dizain ya chai maharage? Af sifa moja ya haya madude bodi zake ni very cheap yani likipiga chini likienda bodi likirudi ni brand new kama msoto wa awamu tuliyonayo ..Natamani kuyaona ma DCM kwenye muonekano sisi tuliosoma dar unaishi temeke shule mwenge tunaelewa habari yake
kama ulikuwa konda au dereva wa zile gari kama mpaka Leo wewe ni masikini basi ukapimwe mkojo
kuna konda yeye per day alikuwa ana mute 30K sasa yeye na dereva walikuwa na mgao wao wa 25/25K
pasipo dereva kutambua kuwa konda naye anapiga ki aina
so,konda alikuwa anaondoka na 55K
per day utadhani afsa vile.
mwisho wa SIKU Yule konda alifanikiwa kujenga nyumba na kuanza maisha yake
mpaka now ana costar zake
[emoji23] [emoji23] sema muhoshwa huoshwa
Kila day ana lalama pesa zake kupotea
Roho ya paka sio siku mambo kibao mara starring hydraulic mara booster zle zlikua za shughuli af sijui ni mjapan au ni muhindi yuleDaaahh hayo madude mwanangu yakichanganya " huwaga yanatoa sauti nzito kama beberu "... kinacho nifurahisha huwaga haya haribiki kiboya na kujaa watu kizembe