kwanini wasichana wako hivi?

this generalization is what makes me sick!!!
Kobe ni wangapi hao walokufanya u-draw such a conclusion?? hivi aibu ya mume wangu sio aibu yangu kweli?? unless am not sincerely in love with him...........................
 

Unajua sumtime wanaume tunalalamika mi huwa nashangaa kwa sababu hapo ni wazi kabisa huyo mtu alikuwa kwako kwa ajili ya kitu fedha uliyonayo...Sredi zingine bwana kweli unahitaji kujadili hii!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 

Nashukuru umejibu vyema sina haja ya kujazia tena...
 
this generalization is what makes me sick!!!
Kobe ni wangapi hao walokufanya u-draw such a conclusion?? hivi aibu ya mume wangu sio aibu yangu kweli?? unless am not sincerely in love with him...........................


Ubarikiwe Dada!................Shem na bahati kubwa hivi ni kweli yupo hapa JF?
 
Wanawake wa JF: Tafadhalini fanyeni utafiti usio rasmi kutafuta ni wanaume wangapi ambao wamewasomesha wanawake wanaotarajia kuwa wandani (wengine ni wake zao tayari) na wakatoswa na wangapi waliendelea na mipango (ndoa zao) yao kwa upendo na maelewano zaidi. Baada ya utafiti huo naamini mtakuwa na haki ya kusema hayo mnayosema.
 
Kwa kawaida hii ni hulka ya mtu binafsi, si vizuri kuhitimisha bila ya kufanya tafiti ya kina inayojali sampuli wakilishi. Inategemea huyo uliyenaye umeshibana naye vipi, na maanisha katika shida na raha, kama ulimpata anayesoma ramani tu na anakuchukulia kama faili la mda, lazima akutumie kama ngazi ya kutatulia matatizo yake bila kujali presha ya maisha yaweza panda ama kushuka.

Unapaswa kuwa na fikra tunduizi ( critical thinker) ili kuweza kun`gamua yupi ni yupi katika dhana nzima ya maisha endelevu ya pamoja.
Katika maisha ya sasa wote mnaweza kujenga daraja kwa ushirikiano bila kujali uwiano, ilimradi muweze kufikia lengo la kujenga hilo daraja, mvuke kisha mmeendelee na safari mpaka mfikie ile nchi mliyotarajia ya asali na maziwa.
 
nikweli kabisa maneno yako nakubaliana na ww my dear
 
Ndugu yangu... kaka.... usijisumbue kwenda kwenye utafiti usio na tija mwisho wa siku.
Mahusiano baina ya wanawake na wanaume ni complex/complicated phenomena/process.Huwezi kutabiri nini kitatokea kwa kufanya kitu fulani kwa ajili ya mwenzio.Ukisema au kufikiri unavyofikiri basi utashangaa kusikia pia wapo wanawake wengi sana wamewainua waume zao kutoka zero na walipoinuka wanaume hao waliwadharau na kuwaona si kitu.Mifano haipo mbali - ( MNISAMEHE KAMA NITAWAGUSA WATU HUMU KWA MIFANO NITAKAYOITOA MAANA SIYO YA KUTUNGA BALI NI HALISI NA MINGINE NIMEHUSIKA KWA NAMNA MOJA AU NYINGINE KUJARIBU KUPATA UFUMBUZI)
Nenda pale UDSM upate visa vya ma lecturer waliokuwa wameoa wauza baa na mama lishe kabla hawajawa "watu".Wanawake hawa waliwalisha, wakawavisha tena mitumba, wakawalaza kwenye chumba kimoja walichokuwa nacho - in short wanaume hao waliwategemea kwa kila kitu kama watot😵n top of that wakawazalia na wana! Shukrani baada ya kuhitimu wahadhiri wakajua pesa, wakasafiri kwenda ulaya kusaficha macho mwishowe wakaona wale wauza baa na mama lishe si mali kitu .
Huu ni mfano mdogo tu.
 

ni kweli kabisa nami nimeona mifano mingi ya malecturer design hii, tukiamua kufanya utafiti twaweza kuta hata hawa wapiga debe wengi wazazi wao ni maprofessor!
 
WOS umesababisha hadi machozi yamenitoka, umesema kweli kweli kweli kweli kabisa, sio UDSM tu hata mawaziri na wabunge, maCEOs wa makampuni mbalimbali.

Duh! Dunia hii, Nway

Thanks WOS
 
sasa hapa naona tutaelewana kuwa swali si kwa nini wasichana wako hivi??? maana hata baadhi ya wanaume nao wako hivo.
lawama isiende kwa watu wa jinsia moja tu.
tabia hii ni ya individuals bila kujali jinsia zao!!!
 
WOS umesababisha hadi machozi yamenitoka, umesema kweli kweli kweli kweli kabisa, sio UDSM tu hata mawaziri na wabunge, maCEOs wa makampuni mbalimbali.

Duh! Dunia hii, Nway

Thanks WOS

Yule aliyekuwa Waziri wa sheria aliyekumbwa na kashfa; anayo nyumba ya aina hii kule Kiwalani Minazi mirefu! Kwa aibu wakati akiwa waziri akamjengea huyu Mama nyumba alizaa nye watoto 2 enzi hizo; wote ni mateja wa kutupwa sasa kwa kukosa malezi muhimu ya baba when they became tenagers kwani mama haku manage kulea na kuwatafutia riziki!
 
Sio wote Nestrory wapo wengi na wapole ,wavumilivu na wenye moyo wa subira ukikuta wa hivyo huyo alikuwa anatafuta kivuli cha kupumzika jua lipungue kisha aendelee na safari yake
kweli kabsaa alikuwa anatafuta wapi pa kuelekea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…