Kwanini wasichana wananionea aibu mimi?

Kwanini wasichana wananionea aibu mimi?

Wakuu, at first anaonekana kutaka attention yangu lakini navozidi kumkaribia ili kuwa naye urafiki hazipiti siku tatu anaanza kunikwepa na kunionea aibu. Nami ambavyo sipendi kushoboka nampotezea. Girls wengi marafiki nakuwa nawapoteza kiivyo.

Hii imekaaje wakuu

Mashoga ndio hutafuta urafiki na Wanawake.
Ungesema unatafuta mchumba au mke ungeeleweka vyema.

Sasa kusema Girls wengi marafiki unakuwa unawapoteza kiivyo unatupa utata.

Hakuna urafiki wa Mwanamke na mwanaume zaidi ya Mke na mume au waliowachumba.
 
Wakuu, at first anaonekana kutaka attention yangu lakini navozidi kumkaribia ili kuwa naye urafiki hazipiti siku tatu anaanza kunikwepa na kunionea aibu. Nami ambavyo sipendi kushoboka nampotezea. Girls wengi marafiki nakuwa nawapoteza kiivyo.

Hii imekaaje wakuu
Kwa sababu wanakuona unajifanya ni msichana zaidi yao.

Wanaona haya hata kuwa karibu na wewe.
 
Back
Top Bottom