Kwanini wasichana wananionea aibu mimi?


Mashoga ndio hutafuta urafiki na Wanawake.
Ungesema unatafuta mchumba au mke ungeeleweka vyema.

Sasa kusema Girls wengi marafiki unakuwa unawapoteza kiivyo unatupa utata.

Hakuna urafiki wa Mwanamke na mwanaume zaidi ya Mke na mume au waliowachumba.
 
Kwa sababu wanakuona unajifanya ni msichana zaidi yao.

Wanaona haya hata kuwa karibu na wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…