Kwanini wasingizie mimba?

drphone

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2009
Posts
3,542
Reaction score
290
jamani sinahakika kama limejadiliwa hapa.
Ni hivi mwaka jana nilibaatika kuwa na wanawake 3 kwa nyakati tofauti nilipoanzana na wakwanza baada ya miezi 6 akaanza kuniambia anahisi nimjamzito akaanza kueckti kila kitu kama anaujauzito kadri cku zilivyokwenda sioni dalili zaidi ya kuhimizwa nimwoe kila kukicha, nikamtema nikapata mwingine naye mda si mrefu naye akaanza ishu hiyo hiyo yani tofauti ni kiduchu tu naye akaanza story nimwoe kwa kasi nimpe majina matatu akaandike cliniki nikasepa watatu the same yy alikuwa ni mhuni nilipomtema akaanza fujo mwisho wa yote akasema lazima unioe kwani ninaujauzito wako nikambana tukapime akasepa ikawa salama yangu.
swali je cku hizi mimba ndokigezo cha kuolewa?
pls firstlady naitaji mchango wako
 

Unajiamini sana hadi kujiweka kwenye hatari ya "kuambukiza" wanawake watatu ujauzito?!
MNAPIMA KWANZA AU?
 
uache kuwaingia MKAVU MKAVU!....
ITAKULA KWAKO
 
ndio, kama kweli wewe ni mkulima mzuri n kigezo kizuri kwani ndio huthbitisha kuwa shamba lina rutuba ya kutosha.

halafu ni kigezo kinacholipa sana. siku hizi asikudanganye mtu, demu bila kuibeba kwelikweli haolewi kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!! sahau.

siku hizi bibi arusi mwenye mimba ndogo ni kama miezi minne hivi majority kuanzia miezi sita na kuendelea!!!!!!
 

Mimba inaonekana kuwa tiketi ya ndoa siku hizi! Kwa asimilia kubwa sana! Ila swali langu kwako mkubwa, wanawake watatu tofauti ndani ya mwaka mmoja na wote unawala peku peku? Twende taratibu mkubwa!
 
hao wote walitaka wakuuzie mbuzi ndani ya kiroba...
 

aisee nimeanza kupata picha
 


kama mlishapima hapa mlikuwa mnaenda kupima nini tena?
 
Kwani kuna ubaya gani mwanamke akikuomba muoane badala ya kuendelea kufanya zinaa? Hao wawili wa mwanzo mbona hamkwenda kupima kama hizo mimba zilikuwepo ama la? Kama ukiambiwa mimba tu unammwaga kuna uwezekano mkubwa tu akaitoa mimba hiyo!

Inaelekea unapenda 'kutembea peku' hivyo hao kina dada pengine wanakupima tu ili wajue kama upo tayari kwa matokeo ya unachokifanya!

Hata kama mmepima HIV, nisingekushauri kutembea peku na mtu ambaye hamna commitment yoyote baina yenu. Itakusaidia kuondokana na magonjwa mengine ya zinaa (gono, kisonono nk), mimba usizotarajia, mimba za kusingiziwa nk nk.

Be blessed!
 

Tatizo ni uzembe wetu sisi Wanaume kutofuatilia Menstruation Cycle za Wapenzi wetu! Kama unaelewa Menstruation Period yake ni ngumu kukudanganya.
 
hao wote walitaka wakuuzie mbuzi ndani ya kiroba...
so many of dem chicks do this, especially ukiingia mkavu, unaweza ukaambiwa hata kesho yake tu kuwa nina mimba yako!
 
Tatizo ni uzembe wetu sisi Wanaume kutofuatilia Menstruation Cycle za Wapenzi wetu! Kama unaelewa Menstruation Period yake ni ngumu kukudanganya.

Hiyo cycle inaweza kukupotosha hasa kama inabadilika badilika!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…