Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Kuna baadhi ya vyombo vya habari vinaonesha baadhi ya wasiria wakishangilia kushambuliwa kwa Hezbollah.
Nilidhani kwa kuwa ni waarabu wenzao labda wangesikitika badala yake wanashangilia.
Nini kinaendelea kati ya wasiria na Hezbollah?
Nilidhani kwa kuwa ni waarabu wenzao labda wangesikitika badala yake wanashangilia.
Nini kinaendelea kati ya wasiria na Hezbollah?