Allen Kilewella JF-Expert Member Joined Sep 30, 2011 Posts 21,470 Reaction score 40,593 Sep 29, 2024 #1 Kuna baadhi ya vyombo vya habari vinaonesha baadhi ya wasiria wakishangilia kushambuliwa kwa Hezbollah. Nilidhani kwa kuwa ni waarabu wenzao labda wangesikitika badala yake wanashangilia. Nini kinaendelea kati ya wasiria na Hezbollah?
Kuna baadhi ya vyombo vya habari vinaonesha baadhi ya wasiria wakishangilia kushambuliwa kwa Hezbollah. Nilidhani kwa kuwa ni waarabu wenzao labda wangesikitika badala yake wanashangilia. Nini kinaendelea kati ya wasiria na Hezbollah?
Jackal JF-Expert Member Joined Apr 10, 2012 Posts 9,971 Reaction score 13,608 Sep 29, 2024 #2 Assad ambaye ni mshirika mkuu wa Hezbollah hapendwi Syria. Yuko madarakani kwa hisani ya Iran na Putin 🤔
Assad ambaye ni mshirika mkuu wa Hezbollah hapendwi Syria. Yuko madarakani kwa hisani ya Iran na Putin 🤔
Allen Kilewella JF-Expert Member Joined Sep 30, 2011 Posts 21,470 Reaction score 40,593 Sep 30, 2024 Thread starter #3 Jackal said: Assad ambaye ni mshirika mkuu wa Hezbollah hapendwi Syria. Yuko madarakani kwa hisani ya Iran na Putin 🤔 Click to expand... Aisee!!! Kwa ivo kumbe wapo waarabu ambao hawapendwi na waarabu wenzao?
Jackal said: Assad ambaye ni mshirika mkuu wa Hezbollah hapendwi Syria. Yuko madarakani kwa hisani ya Iran na Putin 🤔 Click to expand... Aisee!!! Kwa ivo kumbe wapo waarabu ambao hawapendwi na waarabu wenzao?
Jackal JF-Expert Member Joined Apr 10, 2012 Posts 9,971 Reaction score 13,608 Sep 30, 2024 #4 Allen Kilewella said: Aisee!!! Kwa ivo kumbe wapo waarabu ambao hawapendwi na waarabu wenzao? Click to expand... Ndio kwani umesahau kwenye Arabspring huyu Assad aliponea chupuchupu kuondolewa? ! Ni warusi tu ndio walimuokoa!
Allen Kilewella said: Aisee!!! Kwa ivo kumbe wapo waarabu ambao hawapendwi na waarabu wenzao? Click to expand... Ndio kwani umesahau kwenye Arabspring huyu Assad aliponea chupuchupu kuondolewa? ! Ni warusi tu ndio walimuokoa!
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 23,322 Reaction score 64,738 Sep 30, 2024 #5 Wapinzani wa Assad hawaungi mkono hezbollah kuingilia siasa zao ndani ya Syria.