Kwanini wasomi hasa vijana siku hizi wanataka utajili wa haraka sana?

Kwanini wasomi hasa vijana siku hizi wanataka utajili wa haraka sana?

damashizo

Member
Joined
Jan 20, 2011
Posts
61
Reaction score
15
Kuna tabia na hali ya kutaka utajili wa haraka hasa kwa wasomi na vijana waajiliwa coz mtu anaanza kazi leo anataka kesho awe na magari na nyumba za kifahari pasipo kusota na kufanya kazi kwa nini?
 
Kuna tabia na hali ya kutaka utajili wa haraka hasa kwa wasomi na vijana waajiliwa coz mtu anaanza kazi leo anataka kesho awe na magari na nyumba za kifahari pasipo kusota na kufanya kazi kwa nini?

Kwa maandishi hayo kwenye red watafikiri vizuri mambo magumu kweli?
 
damashizo, tafadhali rekebisha lugha uliyotumia ni utajiri na si "utajili" kujili ina maana nyingine kabisa. Na waajiriwa na si "waajiliwa" kama ulivyoandika.

Kiswahili ni lugha yako ya Taifa kukiandika isivyo ni umaskini mkubwa sana, hata uzalendo unakushinda? Kuwa mzalendo kwa kuikuza na kuitukuza lugha yako ni kitu pekee kinachokutambulisha Utanzania wako kwa sasa.
 
Last edited by a moderator:
Acha kukariri kuwa lazima usote sana au mpaka uwe mzee ndiyo uwe tajiri. Maisha yamebadilika na pia vijana wa leo wanaanza kutafuta hela mapema, kwahiyo unaowaona matajiri wakiwa na umri siyo lazima kuwa waliiba kupata hela.
Weka mikakati yako ya kutafuta hela mapema acha kuwa na akili za kizamani.
 
wazee enzi hizo wakipata mshahara wanatulia hadi tena apandishwe cheo ila sa hv hakuna kutegemea mshahara unafanya na issue zako nyingine
 
Back
Top Bottom