Kuna tabia na hali ya kutaka utajili wa haraka hasa kwa wasomi na vijana waajiliwa coz mtu anaanza kazi leo anataka kesho awe na magari na nyumba za kifahari pasipo kusota na kufanya kazi kwa nini?
Unataka mtu asote miaka mingapi?
nilitaka kuuliza pia...
Sijui kusota ni lazima?