machapisho yapo ila mengi ni katika local journals, ingawa jitihada zaidi ziongezwe,
cha kuzingatia pia evaluation hizi zinategemea hits kwenye mtandao, wenzetu mpaka thesis wanaregister as part ya publication za chuo na zinapatika online japo abstract tu, kwahiyo uwezekano wa kuwa nyuma sisi ni mkubwa ni article chache mno zipo kwenye journal ambao unaweza kuzipata online, au japo hata kupata abstract. vyuo vyetu viwe na taratibu za kusajili machapisho angalau kwatika website za vyuo hivyo, na kuweka japo abstract zake. na ziwe zinafanyiwa update mara kwa mara. kila mtu anapopublish hata katika faculty journal basi chapisho lisajiliwe na liwekwe available. mfano mdogo tu, unaweza ukatafuta kazi ya mtu ambayo tayari ameipublish usiipate hata humo humo ndani ya chuo na pengine hata mwenyewe hana soft copy, akibahatisha sana atakupa hard copy ambayo aliiweka kwenye file ukatoe copy.