NyaniMwekundu
Member
- Jul 17, 2013
- 22
- 5
Wapendwa poleni na majukumu ya kilasiku. Mwenzenu ninapenda kujua katika swala hili . kwanini watahiniwa wengi wa kujitegemea hawafanyi vizuri katika mitihani yao? Pili kuna tofauti zozote za usahishaji kati ya watahiniwa binafsi na watahiniwa wa shule. Tatu ni kwelikwamba umaarufu wa kituo cha mtihan ni kigezo moja wapo cha mtahiniwa binafsi kufanya vyema? Msaada wenu tafadhali