wanakuwa na mambo mengi wengi waoundua hilo.mi nimekaa na watu tofauti wanaorudia mitiani pia huwa wengi hawakubali makosa waliofanya mwanzo, wanaona walionewa hivo hupiga msuli kama wa mara ya kwanza na kutumia notes zilezile au kujisomea mwenyewe akiamini alishavipitia ni marudio tu,lakini ukweli ni kwamba ukikubali kosa na kutafuta wenzako wakutoe ujinga kama huo kifikra basi kazi kwisha.NOTE IT.PROVED 60%