Kiazi wewe Mwenyekiti wa Yanga PHD holder na watu wa Yanga wengi wasomi fanya research mtaani kwakoWaandishi wengi hawajasoma na kwa sababu washabiki wanapenda kusikiliza ujinga ujinga na yanga ni timu ya unedicated ndio hapo utaona waandishi wengi ninwa yanga ila waandishi Simba wapo lakini hawawezi kuandika habari za upotoshaji
Sikilizaga TBC.
Unachozungumza ni sahihi sana. Lakini hawa watangazaji nao wamo katika hao maandazi maana ni watanzania. Mfano, ishu ya Kaze kuna redio walishaleta habari za uongo na mtangazaji mmoja aliposti kuwa anakuja kuwa mkurugenzi wa ufundi Simba, jambo ambalo si la kweli. Unafikiri watu wa yanga walijiskiaje? Pia ishu ya Chama, mkataba unaisha mwisho wa msimu, lakini tangu msimu uliopita walivumisha anaenda yanga lakini haikutokea. Sasa hivi wameanza tena na leo naona wameongeza na habari ya kahata na mukoko! Wanakera sio siri. Kata taarifa hawana uhakika nayo waachane nayo. Waache kutumika.Mimi nashabika Simba...pia nasikiliza sana vipindi vya michezo it's like nipo addicted yani...kila muda wa michezo na earphones zangu...
Lakini nilichogundua ni kwamba tatizo si kwa wachambuzi.
Ila sisi wasikilizaji tunapenda kusikia tunavyotaka kusikia...wachambuzi wanajitahidi kuwa neutral lakini sisi Mashabiki hatutaki timu zetu zisemwe ikisemwa Yanga basi wale Simba ikisemwa Simba vivyo hivyo.
Kifupi tumewachoka mashabiki maandazi...if u ain't no football you better find some other things to do....wachambuzi hawana shida kabisa tatizo mashabiki maandazi hampendi ukweli.
Kwa research niliyo ifanya mtandaoni hususani instagram, pamoja na radion (kupitia vipindi vya michezo) nimegundua watangazaji na wachambuzi wa mpira wengi wao ni YANGA. mf. pale wasafi sports Arena wote wale ni jangwani, EFM ukiondoa Ibrahim Maestro walio baki wote ni yanga, CLOUDS ndiyo kabisa.
Hii inasababisha hata yanga akiwa na makando kando kwenye mechi au migogoro ndani ya club utaona wanayaficha ficha.
Lakini ikiwa upande wa simba wataandika watachambua hao mpaka nucta
Wanatukosea sana sisi wasikilizaji na wafuatiliaji wa habari za michezo mitandaoni
Binafsi clouds naionaga Ni utopolo mtupuAfadhali sana Clouds, lakini Efm na Wasafi ndio hovyo kabisa. Na ishu sio kuwa ni mashabiki wa Simba au yanga. Tatizo waliopo kwenye hivyo vipindi ni wahuni, wanaletra stori za vijiweni. Vipindi havina mpangilio yaani watu wanazungumza habari za vijiwe vya bia mara nimetumiwa sms sijui huyu kafanya hiki. Yaani vipindi haviandaliwi. Watu wanakuja studio na vikaptula tu na kuanza kuongea utumbo. Na vilevile hutumiwa na hivi vilabu viwili ili kuvurugana kisaikolojia. Na hiyo mbinu ndio wanaitumia sana yanga sasa hivi. Inawalipa hawa waganga njaa na kuanza kuposti na kuongelea habari za kuwaongelea vibaya Simba ili kuwachanganya. Kuendelea kuumia kichwa kwa habari wanazoongea hawa wajinga, ni kujitesa tu.
Hata me namshangaa mtoa mada hata pia Paulo mkai Ni Simba ila kea George ambangile sijui Ni mshabiki wa team ipi? Ingawa uchambuzi wake upo neutralsidhani kama ni kweli mfano pale wasafi Ahmed Abdallah ni simba sasa unasemaje wote ni yanga japo nawajua wengi ni Yanga.pale clouds nahisi ndo wote ni wananchi
Leo Manara kazi aliyopewa ni kuwarudisha mashabiki wa Simba kwenye mood kiasi chake mbumbumbu wamefarijika, wadadisi wameishia kutukanwa kwenye social MediaAfadhali sana Clouds, lakini Efm na Wasafi ndio hovyo kabisa. Na ishu sio kuwa ni mashabiki wa Simba au yanga. Tatizo waliopo kwenye hivyo vipindi ni wahuni, wanaletra stori za vijiweni. Vipindi havina mpangilio yaani watu wanazungumza habari za vijiwe vya bia mara nimetumiwa sms sijui huyu kafanya hiki. Yaani vipindi haviandaliwi. Watu wanakuja studio na vikaptula tu na kuanza kuongea utumbo. Na vilevile hutumiwa na hivi vilabu viwili ili kuvurugana kisaikolojia. Na hiyo mbinu ndio wanaitumia sana yanga sasa hivi. Inawalipa hawa waganga njaa na kuanza kuposti na kuongelea habari za kuwaongelea vibaya Simba ili kuwachanganya. Kuendelea kuumia kichwa kwa habari wanazoongea hawa wajinga, ni kujitesa tu.
Mimi nashabika Simba...pia nasikiliza sana vipindi vya michezo it's like nipo addicted yani...kila muda wa michezo na earphones zangu...
Lakini nilichogundua ni kwamba tatizo si kwa wachambuzi.
Ila sisi wasikilizaji tunapenda kusikia tunavyotaka kusikia...wachambuzi wanajitahidi kuwa neutral lakini sisi Mashabiki hatutaki timu zetu zisemwe ikisemwa Yanga basi wale Simba ikisemwa Simba vivyo hivyo.
Kifupi tumewachoka mashabiki maandazi...if u ain't no football you better find some other things to do....wachambuzi hawana shida kabisa tatizo mashabiki maandazi hampendi ukweli.
Kauli ya Engineer Hersi haiwezi kujadiliwa ikiwa Yanga inaongoza ligi mpaka ingekuwa kwenye nafasi mbaya wai wangeanza kujadiliwa hiyo kauli na mjadala mkubwa ungejadilwa kama ligi itaisha na Yanga si bingwa.....labda wewe unatakakujadiliwa nini hapo Kwa Sasa?Hakuna anayechukia ukweli ukiwa dhidi ya timu zote.
Mfano Eng Hersi amewahi kusema Yanga isipochukua ubingwa,asilaumiwe mchezaji wala benchi la ufundi ila walaumiwe GSM!
Kauli hii haijawahi kujadiliwa kwa kina.Kwa nini walaumiwe wao na hawachezi uwanjani?
Ila kauli kama hii ingetoka upande wa pili,ingekuwa ndiyo kionjo kila Simba anaposhinda.
Tuache ubabaishaji kwenye soka.Kama wewe ni mchambuzi basi ujue ni ninyi mnachangia kiasi kikubwa kuua soka hapa nchini.
Hivi sasa mnaongoza kwa kampeni za kuwakatisha tamaa Simba katika mechi zao za kimataifa.Ila mtaaibika tu mwaka huu.Bado Simba itafanya vizuri na kuweka rekodi kuliko hiyo yanga yenu
Kweli kabisa wamezoea kusifiwa team yaoKauli ya Engineer Hersi haiwezi kujadiliwa ikiwa Yanga inaongoza ligi mpaka ingekuwa kwenye nafasi mbaya wai wangeanza kujadiliwa hiyo kauli na mjadala mkubwa ungejadilwa kama ligi itaisha na Yanga si bingwa.....labda wewe unatakakujadiliwa nini hapo Kwa Sasa?
Kuhusu Simba inasifiwa na mapungufu yake yanatajwa pia japo wewe and the likes hamtaki kusikia mapungu mnahisi mnakatishwa Tamaa....hata Namungo kujadiliwa Kila siku hususani inapopata matokeo mbaya kwani wanawakilisha nchi...ni upofu wa akili kuukataa ukweli cha msingi ni kurekebisha if possible.
RESEARCH YAKO IMECHAPISHWA MWAKA GANI?Kwa research niliyo ifanya mtandaoni hususani instagram, pamoja na radion (kupitia vipindi vya michezo) nimegundua watangazaji na wachambuzi wa mpira wengi wao ni YANGA. mf. pale wasafi sports Arena wote wale ni jangwani, EFM ukiondoa Ibrahim Maestro walio baki wote ni yanga, CLOUDS ndiyo kabisa.
Hii inasababisha hata yanga akiwa na makando kando kwenye mechi au migogoro ndani ya club utaona wanayaficha ficha.
Lakini ikiwa upande wa simba wataandika watachambua hao mpaka nucta
Wanatukosea sana sisi wasikilizaji na wafuatiliaji wa habari za michezo mitandaoni
Shaffih Dauda Simba lialia aligombeaga mpaka nafasi Simba.Edo Kumwembe ni Simba kipindi kile maandalizi ya mtaani jembe walikuwa wanawaita mashabiki wa Simba na Yanga wana waandalia vimichezo mbalimbali, siku hiyo Edo Kumwembe alikuwa na Ray Kigosi.Kwa research niliyo ifanya mtandaoni hususani instagram, pamoja na radion (kupitia vipindi vya michezo) nimegundua watangazaji na wachambuzi wa mpira wengi wao ni YANGA. mf. pale wasafi sports Arena wote wale ni jangwani, EFM ukiondoa Ibrahim Maestro walio baki wote ni yanga, CLOUDS ndiyo kabisa.
Hii inasababisha hata yanga akiwa na makando kando kwenye mechi au migogoro ndani ya club utaona wanayaficha ficha.
Lakini ikiwa upande wa simba wataandika watachambua hao mpaka nucta
Wanatukosea sana sisi wasikilizaji na wafuatiliaji wa habari za michezo mitandaoni
Edo chinga Mwananchi huyo.Shaffih Dauda Simba lialia aligombeaga mpaka nafasi Simba.Edo Kumwembe ni Simba kipindi kile maandalizi ya mtaani jembe walikuwa wanawaita mashabiki wa Simba na Yanga wana waandalia vimichezo mbalimbali, siku hiyo Edo Kumwembe alikuwa na Ray Kigosi.