GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mkuu Clouds hakuna lolote mtu anaonekana anapata raha ila in reality unakuta ni upuuzi tuNitawashukuruni kama mtanipa ufafanuzi wenu zaidi na naomba kuwasilisha.
- Wanakubalika mno hadi na Mheshimiwa Rais wetu wa JMT.
- Wanakula sana bata ( wanastarehe ) kuliko wenzao.
- Wanapata umaarufu kila kukicha kuliko wenzao.
- Wana influence kubwa kwa Mabosi zao hapo na kwa Watazamaji wengi.
- Wana Confidence kubwa kuliko Wafanyakazi wenzao.
- Wanaonekana kuwa na afya nzuri na bora kuliko wenzao wote pale CMG.
- Wana maisha mazuri hasa Kipesa kuliko wenzo wote hapo CMG.
Ubunifu tu wa kazi,mbona Mtembezi Nugas nae anakula sana bata? mbiga nae anakula sana mahanjumati kwenye kipindi chke cha dikodiko sijui upupu gani huko.....Nitawashukuruni kama mtanipa ufafanuzi wenu zaidi na naomba kuwasilisha.
- Wanakubalika mno hadi na Mheshimiwa Rais wetu wa JMT.
- Wanakula sana bata ( wanastarehe ) kuliko wenzao.
- Wanapata umaarufu kila kukicha kuliko wenzao.
- Wana influence kubwa kwa Mabosi zao hapo na kwa Watazamaji wengi.
- Wana Confidence kubwa kuliko Wafanyakazi wenzao.
- Wanaonekana kuwa na afya nzuri na bora kuliko wenzao wote pale CMG.
- Wana maisha mazuri hasa Kipesa kuliko wenzo wote hapo CMG.
Ngada ndaga groupNaona wafanyakazi wa Clouds mmeamua kujifagilia wenyewe. Poleni kwa kichapo cha Bashite, ndio mkome kujipendekeza kwa CCM.