tenanzinyo
Member
- Dec 28, 2012
- 64
- 23
Wadau wa jf naomba kujuzwa kwanini watangazaji wengi sana wa redio na televisheni tz wanatokea au wanaasili ya mikoa ya kaskazini mwa tanzania yaan kilimanjaro,arusha na tanga?mfano ni baadhi tu milad ayo,vanessa mdee,b dozen adam mchomv, salma msangi,diva,abubakar sadiq,mishi b,gabriel zakaria wa tbc,gerald hando,babra hassan,amina molell,rose chitalla,gadner habashi,sophia kessy,dina marious,gea habib nk-Swali langu je kunaupendeleo maalum wanaupata watu wa kaskazini kwenye hz media au kuna sifa za ziada ambazo wanazo hawa wenzetu?