kwanini watangazaji wengi wa redio na tv bongo wanatoka mikioa ya kaskaskizin

Bandiko lako ungeliweka hivi:

Kwanini watangazaji wengi wa Clouds Fm wanatokea mikoa ya Kaskazini..?
Haswaaaa........hilo ndio lilikuwa lengo lake,ila sio mbaya ujumbe umefika.
 
Hata hapa JF member wengi wanatokea kanda ya Kaskazini wa kwanza ni Rutashubanyuma japokua yeye ni Mhaya! halafu nikifuatia mimi! Endelea!!!!

Na wewe unatokea Majita Mara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…