Kwanini Watanzania hamjiungi na ALIBABA small business website

Kama unataka business na Huna pesa ya mtaji mwingi ingieni Alibaba tafuta small business partners .
Hii inafanyikaje!
I mean ndani ya site ya Aliexpress kuna platform ya wafanyabiashara wanatafuta partners?
 
Mkuu huu uzi wako uliuanzisha ukiwa na lengo zuri sana bahati mbaya wangu walianza kujadili kuhusu hofu ya kutapeliwa badala ya kuchangia mada husika.
Hebu tuambie mkuu ni jinsi gani mtu anaweza kupartner na supplier wa alibaba hata akiwa hana mtaji mkubwa au bila ya kuwa na mtaji kabisa.
Je ni kujenga tuu trust? Na hapo unawezaje kumshawishi supplier wa alibaba akaniamini?
Kama unataka business na Huna pesa ya mtaji mwingi ingieni Alibaba tafuta small business partners .
 
Hii ndo pint kuu mkuu ili tupate maujuzi
 

Vipi kuhusu kupokea mzigo Tanzania, ulitumia njia gani?
 
Mkuu vipi bado unashughulika na biashara Alibaba? Je vipi twaweza kupata bidhaa Arusha?
 
Me nashughurika na biashara kuagiza kupitia AliExpress.
Mkuu nahitaji mzigo wa Chupi huko abroad je Aliexpless bei zao zipoje naweza kupata nami nikaja kukimbiza Bongo
 
Am I love with you ghafla tu baada ya kusoma hii comment yako...... Lets do a private chat ya kibiashara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…