Kwanini Watanzania hatunaga akili? Au shida ni elimu zetu tulizosoma?

Kwanini Watanzania hatunaga akili? Au shida ni elimu zetu tulizosoma?

deblabant

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2022
Posts
2,650
Reaction score
4,065
Watanzania tuna matatizo sana. Unakuta mtu Hana utaalamu wowote naye anakuwa eti mchambuzi na mbishi kwelikweli.

Hivi kibinafsisha bandari nayo ni issue? Nini maana ya uwekezaji? Nini maana ya PPP?

Hivi mkiwa libandari mnaliangalia tu halina manifaa yoyote Ina maana Gani? Hivi mkiwa madini shimoni mnayaangalia angalia tu Kuna maana Gani?

Acheni kuishi enzi za Nyerere na kudhani kwamba umaskini ndo uzalendo wenyewe. Jifunzeni kufanya speculations za mambo japo najua elimu ndo tatizo.
 
Back
Top Bottom