Unafikiri bila kusoma hakimu angehukumu vipi kwa vifungu vya sheria?Utasoma saa ngapi wkt jiwe anakuwinda akutumbue ukome kujidai.
Ni kupiga pesa tu.iba kula rushwa iba dhurumu wagonjwa.
Siku akikutumbua uwe na miradi kibao na nyumba watoto wako waishi vizuri.
eti usome ili iweje utakula vitabu sasa wewe kasome cafe kila siku uone! siku unatumbuliwa bila huruma huna hata kirkuuu ya kujidaishia. tuone km utakuwa na hamu na kisomo
Watu wamenuna wewe unasoma?
Wee ni mbongo? Au mtanzania?mkuu anatumia yaleyale ya shuleni aliyoshika huko akafaulu.Unafikiri bila kusoma hakimu angehukumu vipi kwa vifungu vya sheria?
Nimeanza kuifatilia Jamii forum tangu 2011....lakini kujiunga nimejiunga mwaka huu tu, swali langu ni kwa nini watanzania wanakua siyo wapenzi wa kujisomea????
Wengi wanapenda habari fupi fupi tu tena za udaku, ushabiki wa kisiasa n.k ukiweka topic ndefu wanakwambia hiyo sisi hatusomi....fatilia kwenye magroup ya whatsapp,ndio sababu wengine hata Jamii forum hawaijui, je shida ni nini?
Ungeongeza kujisomea vitabu. Kwa sababu si lazima kusoma kila hadithi au jambo. Unasoma pale panapokuhusu au kama unataka kujua kwa undani. Kusoma vitabu ni tofauti na kusoma udaku . 1.Kwa ujumla kujisomea vitabu ni desturi ya watu waishiyo nchi za baridi walizojifunza toka kwa wazazi wao. Kwa hapa Tz ni vigumu kuanza kujifunza hii desturi ukubwani. 2. Uchumi wa mtu mmoja mmoja na upatikanaji wa vitabu siyo rahisi.3. Kusoma kunahitaji utulivu wa hali ya hewa kusiwe na joto kali 4. Kelele za majirani na maisha ya uswahilini yanachangia kutokuwepo kwa hamu ya kusoma. 5. Uduni wa maisha za familia, ni bora ununue debe la mahinndi ili maisha yaende mbele. Enzi zetu tulisoma vitabu ili kujibia mitihani e.g The river between, No longer at ease, Things fall apart etc.Nimeanza kuifatilia Jamii forum tangu 2011....lakini kujiunga nimejiunga mwaka huu tu, swali langu ni kwa nini watanzania wanakua siyo wapenzi wa kujisomea????
Wengi wanapenda habari fupi fupi tu tena za udaku, ushabiki wa kisiasa n.k ukiweka topic ndefu wanakwambia hiyo sisi hatusomi....fatilia kwenye magroup ya whatsapp,ndio sababu wengine hata Jamii forum hawaijui, je shida ni nini?
Kabla hujaanza kusali tafuta kwanza hela ya sadaka ili sala yako ikubaliweHivi nisali sala gani ili niwe tajiri?
SIO KWELIINimeanza kuifatilia Jamii forum tangu 2011....lakini kujiunga nimejiunga mwaka huu tu, swali langu ni kwa nini watanzania wanakua siyo wapenzi wa kujisomea????
Wengi wanapenda habari fupi fupi tu tena za udaku, ushabiki wa kisiasa n.k ukiweka topic ndefu wanakwambia hiyo sisi hatusomi....fatilia kwenye magroup ya whatsapp,ndio sababu wengine hata Jamii forum hawaijui, je shida ni nini?
Mungu anaenda shopping?Kabla hujaanza kusali tafuta kwanza hela ya sadaka ili sala yako ikubaliwe
Jibu kamili.Ungeongeza kujisomea vitabu. Kwa sababu si lazima kusoma kila hadithi au jambo. Unasoma pale panapokuhusu au kama unataka kujua kwa undani. Kusoma vitabu ni tofauti na kusoma udaku . 1.Kwa ujumla kujisomea vitabu ni desturi ya watu waishiyo nchi za baridi walizojifunza toka kwa wazazi wao. Kwa hapa Tz ni vigumu kuanza kujifunza hii desturi ukubwani. 2. Uchumi wa mtu mmoja mmoja na upatikanaji wa vitabu siyo rahisi.3. Kusoma kunahitaji utulivu wa hali ya hewa kusiwe na joto kali 4. Kelele za majirani na maisha ya uswahilini yanachangia kutokuwepo kwa hamu ya kusoma. 5. Uduni wa maisha za familia, ni bora ununue debe la mahinndi ili maisha yaende mbele. Enzi zetu tulisoma vitabu ili kujibia mitihani e.g The river between, No longer at ease, Things fall apart etc.
Ningependa kusoma zaidi vitabu lakini hela hamna , nitakula nini leo. Hata wewe siyo mgeni na maisha haya pengine siyo Tz tu ni nchi zote zinazoendelea haswa za kiAfrika.