Fikiria juhudi wanazotumia kuiweka CCM madarakani , hizo juhudi wangetumia pia kumtengenezea Mtanzania maisha bora , nchi ingekuwa mbali sana.
Tatizo ni urban sprawl. Africa miji yetu Ina sprawl sana which is bad for the next 50 yearsInawezekana ila gharama atalipia nani?
Jambo la msingi sio kutibu dalili Bali kinga ya ugonjwa.
Plots zote zipimwe kusiwe na ujenzi holela
Kukiwa na blocks za apartments inakuwa ni rahisi kutoa huduma za kijamii kwa watu wengi na gharama za kuboresha huduma za kijamii zinakuwa ndogoImagine kwa jinsi tulivyo halaf hapo kwenye hiyo Apartment maji yakatike miezi harufu ya kuanzia floor ya kwanza mpaka ya mwisho itakuwa sio poa
Ikiwa hivi itakuwa nzuri kiongoziKuliwa na blocks za apartments unakuwa ni rahisi kutoka huduma za kijamii kwa watu wengi na gharama za kuboresha huduma za kijamii zinakuwa mdogo
Kwa hiyo usambazaji wa maji utakuwa nzuri zaidi
Always kuna Rural na Urban AreasMnazungumzia kujenga apartment hivi hamjui matatizo yanayowakumba nchi za Asia, walikimbilia kujenga apartment wakasahau kuna ardhi nyingine inahitajika kwa kilimo matokeo yake sasa hivi ardhi ya kilimo unaipata Afrika na Amerika kusini.
Usione nchi za Asia zinakuja kuwekeza kwenye kilimo ukafikiri wanalima kwa ajili yako , wao wanalima kwa ajili ya nchi zao hao wazanzibar wanajenga sana apartments wakijisahau kuwa Tanganyika ni koloni lao siku watakappofurumushwa ndio watajua kumbe viongozi wao waliwaingiza hoo cha kike kwani huwezi kula apartment
Acha kuwaza kama mtu ambae hana kichwa, kabla ya kufikiria kujengwa apartments Kama China au Korea Cha kwanza ulichotakiwa kufikiria ni uwezo wa nchi.Always kuna Rural na Urban Areas
Hii type ya housing inafanywa kwenye urban areas ndio maana ni mada inayohusu "URBAN PLANNING"
Kilimo kinafanywa zaidi kijijini na kijijini hakuna tatizo la urban sprawl wala maeneo ya uswazi, apartments zinazuia vitu kama hivi
View attachment 3544437
.
.
Halafu kuhusu kilimo ni vile hujui tu. China ni moja ya nchi zinazofanya kilimo sana duniani. Ni moja ya nchi zinazoongoza kulima mpunga, mahindi na ngano. Wana mashamba makubwa sana. Zaidi ya wachina milioni 300 wanajihusisha na kilimo
Africa kuwa na maeneo mengi ya kulima sasahivi ni kwamba kilimo chetu kipo chini. Hatujalima kwa kiasi kikubwa kama inavyotakiwa mpaka unasema wa asia wanakuja huku kulima meaning kule ardhi yao wametumia vizuri kulima hadi wameamua kuja na huku Africa huku tumezubaa
Pia unajua kwamba apartments zikiwa nyingi zinapunguza matumizi ya ardhi na kufanya ardhi kubwa ibaki kwa matumizi mengine
Imagine hapa wangejenga apartments za kuwatosha watu wote hawa, wangekuwa wame save ardhi kiasi gani?
View attachment 3544447

Kuna mawazo huwa yanawazwa na watu wasio na akili timamuKwa nini umeamua kutumia lugha ya namna hii kuwasilisha mawazo yako?
Hawa wengine wanawaza kama wamekatwa vichwa. Nchi ambayo nusu ya nakusanyo ni kulipa deni, nusu iliyobaki ni kulipa mishahara. Sijui hizo apartments kama nchi zitajengwa usingizini.Kuna ndoto nyingine inakubidi tu uwe unaziacha zipite. Ulichokisema hakiwezekani kabisa kabisa kabisa!
Nchi per capital ni Tsh. Milioni 2.5 kwa mwaka, embu niambie huyu mtu itamchukua miaka mingapi ku save na kumiliki nyumba?
Maana yangu ni kwamba uchumi wa hii nchi hauna misuli ya kufanya hii project hata ikipita miaka 100.
Makazi yataboreshwa kwa raia wa hii nchi kuacha tabia za kishamba za kununua viwanja vya square meter 200 halafu wanajenga bila kufuata plans.
Unavyoona makazi yalivo mabovu ndo inasadifu pia uwezo wa fikra zetu. Kubadilika itachua muda sana. Ni mpaka fikra za watu zibadilike.
Hadi kufikia 1980 China ilikuwa na umasikini wa kutupwa na per capita income ndogo kuliko hata ya Tanzania leo hii. Mwaka 1980 China ilikuwa na per capita income ya $195 na wananchi wake walikuwa ni masikini waliokubuhuKuna ndoto nyingine inakubidi tu uwe unaziacha zipite. Ulichokisema hakiwezekani kabisa kabisa kabisa!
Nchi per capital ni Tsh. Milioni 2.5 kwa mwaka, embu niambie huyu mtu itamchukua miaka mingapi ku save na kumiliki nyumba?
Maana yangu ni kwamba uchumi wa hii nchi hauna misuli ya kufanya hii project hata ikipita miaka 100.
Makazi yataboreshwa kwa raia wa hii nchi kuacha tabia za kishamba za kununua viwanja vya square meter 200 halafu wanajenga bila kufuata plans.
Unavyoona makazi yalivo mabovu ndo inasadifu pia uwezo wa fikra zetu. Kubadilika itachua muda sana. Ni mpaka fikra za watu zibadilike.
Ndo hapo sasa, wanatolea mfano nchi kama china ambayo kwa mwaka tu trade surplus yao ni USD 1 Trillion ambayo inatosha kujenga apartment 20,000 zenye thamani ya USD 50 million kila mwaka.Hawa wengine wanawaza kama wamekatwa vichwa. Nchi ambayo nusu ya nakusanyo ni kulipa deni, nusu iliyobaki ni kulipa mishahara. Sijui hizo apartments kama nchi zitajengwa usingizini.
Kwahiyo China imetoka kwenye umasikini baada ya kuanza kujenga apartments?Hadi kufikia 1980 China ilikuwa na umasikini wa kutupwa na per capita income ndogo kuliko hata ya Tanzania leo hii. Mwaka 1980 China ilikuwa na per capita income ya $195 na wananchi wake walikuwa ni masikini waliokubuhu
Lakini hapohapo 1980 China iliamua kujivuta kufanya miradi yote kupunguza umasikini na kujenga apartments
Walianzisha viwanda vingi, mashamba makubwa, wakaboresha elimu ya ufundi walifanya vitu vingi vya kupunguza umasikini at the same time wakaanza kuwajengea wananchi apartments licha ya uchumi mdogo. Miaka 40 imepita sasa, nchi yao ina makazi bora
Hawakusubiria wawe matajiri kwanza ndio wajenge, bali walianza kujenga makazi tangu wananchi wakiwa hawajiwezi
Wewe umeassume kwamba eti nataka Tanzania iache shughuli zote ianze kujenga apartment tena zote ziwe zimekamilika in 5 years kwa kila Mtanzania, kitu ambacho ni wrong
Ujenzi wa apartments haufanyiki overnight, ni kwamba kila mwaka budget inatengwa kwa ajili ya ujenzi wa makazi, kila mwaka unavyopinduka apartments zinaongezeka. Mpaka miaka 20 inakuja kupita makazi holela yanapungua kwa asilimia kubwa sana. China ndio walifanya hivyo. Hawakusubiria per capita yao ifike hadi $10000 ndio waanze kujenga. Idea yako sio sahihi
China ilikuwa inafanya vitu vyote simultaneously, yani kwa wakati mmoja.Kwahiyo China imetoka kwenye umasikini baada ya kuanza kujenga apartments?
Apartments ni matokeo ya ukuaji wa kiuchumi na sio sababu ya kukua kwa uchumi. Elewa vema dhana ya cause and effect
Nani aliyekuambia china 1980 ilikua na uchumi sawa na Tanzania? China duniani ilikua ya 7, hizi story huwa mnaongopeana wapi?Hadi kufikia 1980 China ilikuwa na umasikini wa kutupwa na per capita income ndogo kuliko hata ya Tanzania leo hii. Mwaka 1980 China ilikuwa na per capita income ya $195 na wananchi wake walikuwa ni masikini waliokubuhu
Lakini hapohapo 1980 China iliamua kujivuta kufanya miradi yote kupunguza umasikini na kujenga apartments
Walianzisha viwanda vingi, mashamba makubwa, wakaboresha elimu ya ufundi walifanya vitu vingi vya kupunguza umasikini at the same time wakaanza kuwajengea wananchi apartments licha ya uchumi mdogo. Miaka 40 imepita sasa, nchi yao ina makazi bora
Hawakusubiria wawe matajiri kwanza ndio wajenge, bali walianza kujenga makazi tangu wananchi wakiwa hawajiwezi
Wewe umeassume kwamba eti nataka Tanzania iache shughuli zote ianze kujenga apartment tena zote ziwe zimekamilika in 5 years kwa kila Mtanzania, kitu ambacho ni wrong
Ujenzi wa apartments haufanyiki overnight, ni kwamba kila mwaka budget inatengwa kwa ajili ya ujenzi wa makazi, kila mwaka unavyopinduka apartments zinaongezeka. Mpaka miaka 20 inakuja kupita makazi holela yanapungua kwa asilimia kubwa sana. China ndio walifanya hivyo. Hawakusubiria per capita yao ifike hadi $10000 ndio waanze kujenga.
Muongo huyo China 1980 haikua sawa na Tanzania kiuchumi. China ilikua top 10 duniani kwa uchumi mkubwaKwahiyo China imetoka kwenye umasikini baada ya kuanza kujenga apartments?
Apartments ni matokeo ya ukuaji wa kiuchumi na sio sababu ya kukua kwa uchumi. Elewa vema dhana ya cause and effect