Kama unaweza kujenga decent house ni sawa kujenga nyumba yako mwenyeweSawa mtajua wenyewe kikubwa Mimi siwezi ishi kwenye apartment sijashindwa kujenga bangaloo langu.
ChawaSawa mtajua wenyewe kikubwa Mimi siwezi ishi kwenye apartment sijashindwa kujenga bangaloo langu.
Endelea kusoma uchumi.Ulikuwa unataka kusema nini?
Ndio shida ilipoanzia hapa. Yani Samuya awaze kuboresha maisha ya watz akili hiyo anaitoa wapi kwanza πNchi haina Rais ina kiazi, unategemea nini?
Chawa wa CCM huyo anakuambia mama anaupiga mwingi na kwao Mbeya nyumba zimepandana milimani kama funzaChawa
Basi tangu uhuru tunaongozwa na viazi maana ujenzi hole la ni tatizo sugu Africa nzima.Nchi haina Rais ina kiazi, unategemea nini?
Nimeamua kumpuuza maana anaongea falacyMuongo huyo China 1980 haikua sawa na Tanzania kiuchumi. China ilikua top 10 duniani kwa uchumi mkubwa
Huyu bado ana zile story za vijiweni
China 1980 ilikua nafasi ya 7 kwa uchumi mkubwa duniani, China ilikua vizuri kuliko Canada.
View attachment 3544469
Hata kama umeamua kupuuzaNimeamua kumpuuza maana anaongea falacy
Bila CCM kutoka madarakani sahauKusema ukweli Tanzania tunahitaji apartments kwa sasa. Kwa nini tusijifunze kutoka kwa nchi kama China, South Korea, Singapore nk? Hizi nchi watu wake walikuwa wanaishi kwenye makazi duni sana miaka ya 1960s. Serikali zao zikaanza ujenzi wa apartments ili kuhakikisha wananchi wengi wanapata kuishi kwenye makazi bora. Na leo hii wamefanikiwa, watu wanaishi kwenye makazi mazuri
Nasema hivi kwa sababu clearly hii ya kila mtu kujenga nyumba yake mwenyewe imetushinda. Watu wasijenge nyumba mpaka wajipate, kipindi wanajitafuta wakae kwenye apartments za serikali au kampuni binafsi
NHC wanajenga apartments Dodoma na hata Dar tumeona miradi kama Kawe 711 na Samia Housing Scheme lakini kusema ukweli hii hata haitasaidia kitu. Nyumba za NHC huwa ni expensive ndio maana wanaishia kukaa wahindi na waarabu. Inapaswa zijengwe apartments na bei ziwe rafiki kwa Watanzania wa kawaida ili kupunguza makazi holela, sio hizi za NHC ambazo bei zake Wana afford foreigners tu. Na hata Watanzania wanao afford ni mara kumi wajenge nyumba zao wenyewe maana watapata nyumba nzuri zaidi
Take a look at this
Hapa ni Mbeya
View attachment 3544366
Umeona jinsi nyumba zilivyojengwa bila mpangilio na kuchukua ardhi kubwa bila sababu za msingi? Lakini kama zingejengwa apartment kadhaa, zikapandwa nyasi, miti, mitaro na sewage system mazingira yangekuwa mazuri zaidi ya hivi. Matatizo kama mafuriko, kipindupindu, maeneo kutofikika nk yangepungua na mji ungependeza kimuonekano
Hapa ni Dar
View attachment 3544367
Angalia hicho kipande kidogo kilichojengwa hovyo bila mpangilio
Na hapa pia ni Dar π
View attachment 3544369
.
.
Hapa ni MwanzaView attachment 3544368
Hawa watu wote wanaoishi kwenye nyumba zinazoonekana kwenye picha wangetosha kama wangekaa kwenye apartment moja pekee.
Kuzuia mambo kama haya ndio maana Wachina waliamua kujenga apartments nyingi nchi nzima
KWA NINI WACHINA WALIAMUA KUJENGA APARTMENTS NYINGI NCHI NZIMA?
Hapa sababu zote zipo applicable hata hapa Tanzania
1. Ukuaji wa haraka wa idadi ya watu na mijini
China ina miji mikubwa yenye watu wengi. Kwa sababu ya uhamiaji mkubwa kutoka vijijini kwenda mijini (urbanization), kuna hitaji kubwa la makazi. Apartments ni suluhisho linaloweza kuchukua watu wengi katika eneo dogo. Ni kama tu hapa Tanzania (Jiji la Dar lina watu takribani milioni 5.3, Jiji la Mwanza watu milioni 1, majiji ya Arusha, Dodoma na Mbeya yana watu takribani laki 6 each)
2. Ufanisi wa ardhi na rasilimali
Ardhi mjini ni ya thamani kubwa. Kujenga nyumba za ghorofa nyingi (high-rise apartments) kunaruhusu kutumia ardhi kidogo lakini kufikia idadi kubwa ya familia.
3. Kurekebisha gharama za makazi
Apartments nyingi kwa mpango mmoja (mass housing) zinafanya gharama ya kila nyumba kuwa nafuu zaidi kuliko kujenga nyumba binafsi. Serikali pia inaweza kudhibiti bei za nyumba kwa urahisi zaidi.
View attachment 3544376
4. Kurahisisha huduma za kijamii
Wakati watu wengi wakiishi karibu kwenye buildings za makazi, ni rahisi kutoa huduma kama barabara, maji, umeme, shule, hospitali, na usafishaji wa miji.
FAIDA ZA SERIKALI KUJENGA APARTMENT NYINGI TANZANIA NZIMA
1. Bei nafuu kwa wananchi wa kawaida: Serikali inasaidia baadhi ya gharama, hivyo ni rahisi kwa watu wenye kipato cha kati au kidogo. Kuliko kujichanga na kujenga nyumba ambazo ni below standard ni heri mwananchi apange kwenye apartment za bei nafuu
2. Mpango wa usafi na afya
Miji mipya inafanyiwa urban planning, hivyo barabara, mifereji ya maji, na taka zinapangwa vizuri. Kuliko mazingira ya uswazi. Mpangilio mbovu una attract uchafu, watu wanatupa taka hovyo na hawaoni aibu kwa sababu mazingira yenyewe hayavutii. Hii ni human psychology (Broken window theory)
View attachment 3544375
3. Usalama
Blocks za apartments mara nyingi zina milango ya kudhibiti, CCTV, na wakaguzi wa usalama. Ukiangalia nchi zote ambazo wananchi wake wanaishi sana kwenye apartment ndio zinaongoza kwa usalama duniani (China, South Korea, Japan, Singapore)
View attachment 3544377
4. Huduma zinakuwa karibu
Shule, maduka, vituo vya afya na maegesho ya umma mara nyingi vipo ndani ya maeneo hayo.
MUUNDO NA MPANGILIO WA MITAA YA APARTMENTS KWA AJILI YA WANANCHI CHINA (Chinese residential neighborhoods)
View attachment 3544372
1. Apartments zinaunganishwa na barabara pana za magari na njia za watembea kwa miguu.
2. Zinajengewa bustani ndogo, miti, na maeneo ya michezo kwa watoto.
3. Urban planning
Kila block ina eneo lake la park, shule, soko, frame za maduka ya msingi karibu nk
View attachment 3544373
4. Mfumo wa maji na umeme umewekwa ili kuepuka matatizo ya usafi na msongamano.
5. Kunakuwa na njia za baiskeli na barabara za watembea kwa miguu
Kwa sababu ni housing mass-production, bei inabakia chini kuliko nyumba binafsi.
Apartments ndogo zina bei nafuu zaidi, zinazofaa kwa vijana, wafanyakazi wa maofisini, familia zinazojitafuta, na hata zilizojipata
View attachment 3544374
Mitaa ya apartments inavyokuwa, unaweza kukuta residential compounds yenye ghorofa 10β30.
Kila block ina green space: miti midogo, bustani za michezo, na sehemu za kukaa.
Njia za barabara haziwezi kuwa na msongamano mkubwa kwa sababu zoning imepangwa vizuri: makazi, biashara, na huduma za jamii hazichanganyiki bila mpangilio.
View attachment 3544378View attachment 3544379
Hizi apartments ndio zimesaidia China kutokuwa na mitaa ya hovyo kama ya hapa kwetu Tanzania. Apartments ni better option ya makazi
Fikiria nchi kama USA Ina uchumi mkubwa kuliko China na Ina watu wachache kuliko China (China Ina watu bilioni 1.4, USA Ina watu milioni 350) lakini USA ina homeless people wengi kuliko China. That means Chinese way is more effective
Hapa Tanzania nako homeless sio wengi lakini sasa watu wanakaa kwenye makazi dunia. Ni muda sasa tuanze kujenga apartments nyingi kila kona ya Tanzania ili watu wakae kwenye nyumba nzuri. Kodi ziwe chini na sisi nchi yetu ipendeze, tupunguze urban sprawl, na matumizi ya ardhi yasiyo ya lazima.
NHC waache kujengea nyumba wahindi na waarabu, waweke bei rafiki ili Watanzania waone sababu za kuhamia kwenye apartments.
Wala sio lazima ziwe apartments ndefu kama za China. Huku hata zikijengwa za urefu wa 5 floors each inatosha
Maana hii hali sio nzuri πView attachment 3544369
We unafananisha purchasing power ya mwaka 1980 na 2026, unadhani ni sawa?Hata kama umeamua kupuuza
Usisahau point yako ya kuwa pato la Mtanzania ni 2.5M kwa mwaka. Pia ujue huo uchumi wa China ulikuwa $300B mkubwa lakini population ilikuwa milioni 900+ which gives worse per capita income than most poor countries today, including Tanzania, na bado wakafanikiwa kujenga makazi bora, which means it's not fallacy
So keep than in mind
Hata kama sio sawa huoni China per capita income 1980 ilikuwa $195 na Tanzania ya leo per capita income ni $1000+?We unafananisha purchasing power ya mwaka 1980 na 2026, unadhani ni sawa?
Bila kubadilisha katiba, kuwezesha uchaguzi wa haki hatuwezi kupata serikali ya kusimamia wazo lako zuri.Hii hata Watanzania wenyewe tunaweza kufanya.
Hii ni South Africa
View attachment 3544386
View attachment 3544387
.
.
Hii ni Burkina Faso
View attachment 3544388.
.
Hapa ni Angola
View attachment 3544389
.
.
Na hapa ni Tanzania (Kawe 711) project. Tatizo hizi za NHC huwa ni expensive, wana tamaa wanataka faida irudi ndani ya miaka 5 sijui. Tukijipush tunaweza kuanza kujenga kwa lengo la kupunguza makazi duni lakini we're not serious enough
View attachment 3544390
Ni kweli nimekuelewa mkuuMassive construction = massive amount of $$$$'s
Hiyo capital ipo wapi mkuu kwa uchumi wa uchuuzi huu wa bidhaa za wachina unaotegemea kariakoo kama major source of national revenue na betting?
Na land leasing ya maximum 99yrs? Then kuogopa wakenya tu weusi kama sisi, tutaweza multinationals wenye mapesa kuwahandle na macoruption yetu?
Wazo zuri sana ila linaweza kufanywa na generation ya 3 kuanzia sasa tukishapata brain develepment mkuu
Watanzania hawana utamaduni wa kuishi kwenye ALARTMENTS.Kusema ukweli Tanzania tunahitaji apartments kwa sasa. Kwa nini tusijifunze kutoka kwa nchi kama China, South Korea, Singapore nk? Hizi nchi watu wake walikuwa wanaishi kwenye makazi duni sana miaka ya 1960s. Serikali zao zikaanza ujenzi wa apartments ili kuhakikisha wananchi wengi wanapata kuishi kwenye makazi bora. Na leo hii wamefanikiwa, watu wanaishi kwenye makazi mazuri