Kwanini Watanzania wa 2015 na nahisi hadi wa 2025 wana Roho Mbaya na Wachoyo kuliko wale Watanzania wa 2005 hadi 2015?

Kwanini Watanzania wa 2015 na nahisi hadi wa 2025 wana Roho Mbaya na Wachoyo kuliko wale Watanzania wa 2005 hadi 2015?

Mzukulu

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2020
Posts
1,401
Reaction score
2,641
Huu ni Mwaka wa Tano sasa sikaribishwi katika Sikukuu hizi Kubwa Kubwa kama ilivyokuwa zamani.

Hadi nimejiuliza kwani Watanzania wa kuanzia mwaka 2015 hadi leo hii wana nini na mbona hawafanani kwa Roho nzuri na Ukarimu hadi wa Kugawiana Pesa na Zawadi kama wale wa mwaka 2005 hadi 2015?
 
Wewe huwa unakaribisha?

Japo huwezi kukaribishwa na wote lakini mara nyingi ukiwa mtoaji/unakaribisha wengine hata wewe utapewa/utakaribishwa

So kama hukaribishwi na yoyote anza kujitathimini
 
charimatic fella and entertainer pure talented.

Siko kila mwana JamiiForums amesoma au anakijua Kiingereza Kigumu kama ulichokiandika hapa. Je, umemaanisha nini hapa?
 
Siko kila mwana JamiiForums amesoma au anakijua Kiingereza Kigumu kama ulichokiandika hapa. Je, umemaanisha nini hapa?
Ok nimekupata namaanisha tu kwamba sredi konki imeshiba kutoka kwa mtu mwenye kipaji na ushawishi.
 
Awamu mbili tofauti

Watu wanabadilika na mazingira boss

Sio uchoyo
 
Back
Top Bottom