Ok nimekupata namaanisha tu kwamba sredi konki imeshiba kutoka kwa mtu mwenye kipaji na ushawishi.Siko kila mwana JamiiForums amesoma au anakijua Kiingereza Kigumu kama ulichokiandika hapa. Je, umemaanisha nini hapa?
Ameamua kuiweka pembeni Id yake kongwe.charimatic fella and entertainer pure talented.
Hahahahahaaaaaaaaa Umetisha!!!!Ameamua kuiweka pembeni Id yake kongwe.
Ila lijamaa nalikubali n jeshi la mtu mmoja
Sent using Jamii Forums mobile app