Utafiti mbali mbali kuhusu ujasilia mali na ajira umegundua kwamba watanzania wengi wamejikuta kwenye ajira zisio rasimi zifuatozo kwanini?
1. Udalali wa viwanja nyumba na gari hi tasinia ya udalali imeshika kasi kiasi kwamba wasomi na wasio wasomi wote wako humo. Na sio rahisi kwasasa kufanikiwa jambo la kupata kiwanja au gari bila dalali
2. Uchambuzi wa mipira ya ndani na nje siku hizi kila mtazania amekua mchambuzi wa mpira rasmi wengine sio rasimi.
3. Betting imekua sehemu ya ajira ya vijana na watu wazima kiasi kwamba wanafuatilia ligi za mipira duniani nzima mpaka ligi ya mpira ya India.
4. Kuangizia mtu gari Japan au Ulaya hi na yenyewe imekua kazi maalumu yani badala ya kulipia gari mwenyewe huyu Mswahili ndo anakua commission agent kwa gari ambao sio ya kwake ili apate cha juu mpaka wanatangaza ma maredioni.