Beberu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2017
- 4,548
- 9,740
Am in hurry, so let's get straight to the point. Ndugu zangu waTz wenzangu tuna ujinga wa hali ya juu sana, yan sijui ndo kufuatilia mambo hatuna au ndo vile elimu yetu mbovu kabisa, mfano
Kwenye kazi yangu nakutana na wamama wengi sana hawajui siku zao za hatari ni zipi na safe days ni zipi? Sasa unajiuliza mama wa miaka 30 hajui vipi menstrual cycle?
Kuna mtu huko kaanzisha uzi analalamika jinsi bank inavyoibia wafanyakazi, ila ukiona point yake utacheka, coz ni kitu basic tu kinachoeleweka ila naona pale watu kibao wanalaumu mpaka unajiuliza hawa watu shule walienda au humu ndani tuna std 1 tu?
Wamama wengi wa Tanzania hawajui kuunganisha TV, yaani muwekee ile kila kitu kipo peke yake aunganishe hawezi wengi wanalipa mafundi.
Ukikaa kwenye majadiliano uone myth wanazolishana huku mitaani ndo utakimbia 😂😂
Anyway leo kuna baridi wacha niendelee kupasha joto.