L Lowaguli Member Joined Jul 11, 2020 Posts 80 Reaction score 114 Aug 30, 2020 #21 Mpanda nyangobe said: kwa nature ya comment yako I can describe your age , level of education, IQ, etc Click to expand... Ukishajua level yake ya elimu ndo huo mtaro mchafu unazibuka au?
Mpanda nyangobe said: kwa nature ya comment yako I can describe your age , level of education, IQ, etc Click to expand... Ukishajua level yake ya elimu ndo huo mtaro mchafu unazibuka au?
Sumve 2015 JF-Expert Member Joined Jun 16, 2013 Posts 4,563 Reaction score 4,227 Aug 30, 2020 #22 Unamaanisha huijui bima ya CHF? hakuna jipya hapo zaidi ya kutudanganya tu, hayo yote atayafanya vipi wakati anaahidi kufuta kodi? ATATUUZA.
Unamaanisha huijui bima ya CHF? hakuna jipya hapo zaidi ya kutudanganya tu, hayo yote atayafanya vipi wakati anaahidi kufuta kodi? ATATUUZA.
Elpaul JF-Expert Member Joined Jan 19, 2018 Posts 922 Reaction score 692 Aug 30, 2020 #23 Bima ya afya, kulipa malimbikizo ya madeni nasubiri hadi mwsho nione nani Starling.
L Lowaguli Member Joined Jul 11, 2020 Posts 80 Reaction score 114 Aug 30, 2020 #24 LIMBOMAMBOMA said: Jpm miaka 5 iliyopita tuliamini ataleta furaha na haki kwa watu, mbaya zaidi amezidi kuligawa taifa letu kwa misingi ya kipato, pia kisiasa.Badala ya kuliunganisha taifa kalitenganisha zaidi.. Click to expand... MATAGA, LB7, milembe campus, psychiatry, wanufaika wa mfumo ndo wapiga kura wa jiwe bila kusahau wananzengo wa Gambosi na Burigi.
LIMBOMAMBOMA said: Jpm miaka 5 iliyopita tuliamini ataleta furaha na haki kwa watu, mbaya zaidi amezidi kuligawa taifa letu kwa misingi ya kipato, pia kisiasa.Badala ya kuliunganisha taifa kalitenganisha zaidi.. Click to expand... MATAGA, LB7, milembe campus, psychiatry, wanufaika wa mfumo ndo wapiga kura wa jiwe bila kusahau wananzengo wa Gambosi na Burigi.
K Kiongozi mkuu2020 JF-Expert Member Joined Aug 8, 2020 Posts 1,748 Reaction score 998 Aug 30, 2020 #25 Lowaguli said: Hili la Lissu kudanganywa umefanya utafiti? Na umeisubmit wapi? Click to expand... Hunalolote ulijualooo. Hangaikeniii na jamaaa yenuuuuu. Kama watanzania wangekua hawana furaha, wangemkubali jaaamaa yenuuu. Watanzania wako vizuri saaanaaa.
Lowaguli said: Hili la Lissu kudanganywa umefanya utafiti? Na umeisubmit wapi? Click to expand... Hunalolote ulijualooo. Hangaikeniii na jamaaa yenuuuuu. Kama watanzania wangekua hawana furaha, wangemkubali jaaamaa yenuuu. Watanzania wako vizuri saaanaaa.
L Luggy JF-Expert Member Joined Aug 6, 2012 Posts 3,591 Reaction score 3,131 Aug 30, 2020 #26 USSR said: Mwambie mmeo ndio anamawazo mgando Click to expand... CCM hata Kiswahili kinawashinda kuandika ...ni mumeo na si mmeo...
USSR said: Mwambie mmeo ndio anamawazo mgando Click to expand... CCM hata Kiswahili kinawashinda kuandika ...ni mumeo na si mmeo...