Kwanini Watanzania Wengi walishabikia Uingereza?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Nimepata wakati mgumu sana hapa Tandika Mwembeyanga, hasa baada ya kujikuta ni mimi tu ndiye nilikuwa Shabiki wa Senegal, vijana wengi wameshabikia wazungu!

Unadhani ni kwanini hali hii?
 
Nimepata wakati mgumu sana hapa Tandika Mwembeyanga , hasa baada ya kujikuta ni mimi tu ndiye nilikuwa Shabiki wa Senegal , vijana wengi wameshabikia wazungu !

Unadhani ni kwanini hali hii ?

Mimi binafsi nilikuwa nawasupport Senegal (Sababu ya uAfrica wetu) ingawa toka moyoni nilikua najua fika kabisa Senegal hawawezi kutoboa mbele ya vijana wa King Charles licha ya wenzao Cameroon kuwafunga Brazil majuzi.

Nadhani tumeshuhudia kilichotokea.
 
Nimepata wakati mgumu sana hapa Tandika Mwembeyanga , hasa baada ya kujikuta ni mimi tu ndiye nilikuwa Shabiki wa Senegal , vijana wengi wameshabikia wazungu !

Unadhani ni kwanini hali hii ?
Wazungu wanaipenda chadema, hivyo ndiyo sababu wengi wameshabikia Uingereza. Unajua kwa nini watanzania wengi walifurahi Ubeleji (Belgium) kutolewa mapema?
 
Nimepata wakati mgumu sana hapa Tandika Mwembeyanga, hasa baada ya kujikuta ni mimi tu ndiye nilikuwa Shabiki wa Senegal, vijana wengi wameshabikia wazungu!

Unadhani ni kwanini hali hii?
Labda huko kwenu Tandika

Huku nilipo kila mtu alikuwa na African team Senegal🇸🇳
 
Hata Cameroon ingekuwa mtoano wasingeifunga Brazil🇧🇷
 
Hata wewe mleta mada kila thd humu hua una comment "Mungu wabariki wazungu" leo hii eti na wewe unawashangaa wenzako?

Watu wanaitafuta furaha ilipo,huwezi kushabikia team za Afrika labda uwe unatafuta maumivu ya nafsi yako tu.
 
Ni kama ambavyo pia Watanzania wengi huishabikia CCM 🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…