Mkuu haya mambo yanaenda na kizazi(generation).Hili tatizo lipo kwa watz wengi sana hata graduates kwenye kuandika maneno ya kiswahili lakini si kiingereza. mfano graduate hawezi kosea akaandika gladuate, lakini mtu huyo huyo ramli anaweza akaandika lamli, au ramri. hivi tatizo ni nini haswa. hebu wadau nipeni majibu ya maana
Ujachunguza tu ata hao wa miaka ya 80 walikuwa kama sisi tu sema wao walikuwa hawana platforms zinazo weza kufanya mtu akujua uwandishi wa kila mtu kama ilivyo hv sasa.Mkuu haya mambo yanaenda na kizazi(generation).
Waliozaliwa 80' kurudi nyuma hauwezi kuta hilo tatizo mtu analo, labda kwa bahati mbaya.
Na pia tangia kazi ya ualimu ifanywe ni kijiwe cha kutafutia kazi kwa waliofeli, ndiyo yamejitokeza yote haya.
Wasukuma hawana R
Wakurya hawana L
Wanyiha, Wanyamwanga, Wamalila, Wasafwa, Wanyakyusa, Wawanji wote hawana R Wana L tuWandali
Waislam waliokwenda madrassa pamoja na watu wa pwani huwa hawana hili tatizo.
Uvivu tu wa kujifunza na kuelewa wapi R na L ikae.Mkuu haya mambo yanaenda na kizazi(generation).
Waliozaliwa 80' kurudi nyuma hauwezi kuta hilo tatizo mtu analo, labda kwa bahati mbaya.
Na pia tangia kazi ya ualimu ifanywe ni kijiwe cha kutafutia kazi kwa waliofeli, ndiyo yamejitokeza yote haya.
Moja,kutamka na kuandika mara nyingi ni vitu tofauti kabisa ,km utatamka neno ambalo hujawahi ona limeandikwaje ni rahisi kukosea kuliandika.Hili tatizo lipo kwa watz wengi sana hata graduates kwenye kuandika maneno ya kiswahili lakini si kiingereza. mfano graduate hawezi kosea akaandika gladuate, lakini mtu huyo huyo ramli anaweza akaandika lamli, au ramri. hivi tatizo ni nini haswa. hebu wadau nipeni majibu ya maana
Obviously you do because it ain't LOOSE but lose.Mi kwenye Kiswahiri rabda, ira kwenye English ain't loose battle that easily.
ukifuatilia vizuri walio wengi ni vilaza hajaenda shule au kama amenda basi ameunga unga na akifuatilia kwa ukaribu maisha yake atakuwa ameishi uswahilini.Hili tatizo lipo kwa watz wengi sana hata graduates kwenye kuandika maneno ya kiswahili lakini si kiingereza. mfano graduate hawezi kosea akaandika gladuate, lakini mtu huyo huyo ramli anaweza akaandika lamli, au ramri. hivi tatizo ni nini haswa. hebu wadau nipeni majibu ya maana