Alubati
JF-Expert Member
- May 29, 2016
- 6,535
- 14,840
Miaka ya nyuma gari zilitengenezwa kwa bodi ngumu za material ya bati,hali ambayo gari ikipata ajali linabonyea na kuacha athari kidogo kwa wahanga wa ajali.
Tofauti na hivi sasa mtu ananunua gari milioni 500 lakini bodi ni kama aina fulani ya plastiki gumu.
Ikitokea ajali gari inakwisha kila kitu na watu wake humohumo,ukifika eneo la ajali utadhani ni dampo watu wametupa taka.
Shida nini?