SOCIOLOGISTTZ
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 2,615
- 927
Jamani wadau naombeni jibu, watoto wa shule zetu siku hizi hawataki kusoma badala yake wanajishughulisha na mambo ya kihuni kama kuvuta bangi na kufanya mapenzi, na mambo mengine mabaya na kipuuzi wakiwa shuleni. Wazazi wanajitahidi sana kulipa ada na matumizi mengine wakidhani watoto wao wanasoma kumbe...
serikali ya CCM nayo inaongeza wastani wa kufaulu ili iyonekane imefanya mambo mazuri katika elimu.
nasema kweli bila ushirikiano wa waalimu, wanafunzi, wazazi na serikali shule zetu zitaendelea kufanya vibaya sana siku hadi siku, hata kama serikali ya ccm itaendelea kupanua magoli.