Braza nimegusa na kichicha hapa niko full gwamba nashushia glass za maji tu.Usisahau mboga za majani pembeni.
Kama wali maharage ni chakula pendwa cha watoto basi mimi sikui na wala sitakua kabisa, maana hicho ndiyo 'the food of choice'. Katiba ya nyumbani kwangu (haina Sura wala Ibara) zikipita siku tatu maharage hayajapikwa lazima wajieleze[emoji1787][emoji1787]...
Tabora School
Tulikuwa tunaita nyali
NdiyoUlikuepo kipindi wanaweka mawese?
Enzi za Mrisho na Masele
Ndiyo
Ulikuwepo?
Arage?MKUU CHAKULA HICHO NI UGONJWA WA TAIFA MI HAPA NIMETOKA KULA KITU CHA ARAGE NAZI KWA UBWABWA
Wanawake pekee ndio wanapikaga?kumbe wewe ni ke.
Unasahauje kachumbari kwa mfano?mimi hadi leo ukipikwa wali na mboga nyingne hata nyama bila maharage hata robo huwa siridhiki kabsa
wali unaendana na maharage bana
limbwata hilo linafanya kazi, kenge we, dume unaacha kutafuta hela unashinda jikoni kukata vitunguu na kuonja chumvi.Wanawake pekee ndio wanapikaga?
Acha ufala hata babaako alikuwa anapika au nae ni ke?