Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
- Mbaba anayemiliki kipara hasa kile cha kung'aa
- Mbaba mwenye kitambi
- Mbaba anayevaa suti akiongezea na tai ndo ina thibitisha ana vibunda vya kutosha
- Mbaba yeyote anayevaa miwani hata kama ni ile miwani ya kuwa na matatizo ya macho hawa watu hawakosi mpunga.
- Mtu yoyote unayemkuta anayeendesha gari - hapa kutegemea na maeneo itajumuisha magari ya aina zote hata kama ni hizi baby woka na hata kama hilo gari sio lake.
- Mshangazi yoyote wenye kitambi. huyu akiwa waitiwaiti atakuwa na mpunga mwingi zaidi kuliko hawa wengine wa rangi zingine.
- Mtu yoyote anayeitwa meneja. meneja anakosaje hela kwa mfano? sasa nini maana ya kuwa meneja? meneja lazima awe na hela hata kama ni meneja wa Klabu ya soka ya Kidongochekundu fc.
Ongezea....