Kwanini watu hawaagizi Magari kupitia Alibaba

the muter

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2012
Posts
1,347
Reaction score
1,828
Wadau nimejaribu kupitia Alibaba naona kama bei ya magari ni mchelea kuliko huko kwingine, najiuliza kwanini watu hawaagizi kupitia Alibaba

Check out this product on the Alibaba app: NEWLY USED 2022 toyota LAND CRUISER PRADO 2.7 TX L PACKAGE
 
Bei chee ee, jaribu kuchat na supplier akupe bei halisi, ile ni display price mzee.
 
Wadau nimejaribu kupitia Alibaba naona kama bei ya magari ni mchelea kuliko huko kwingine, najiuliza kwanini watu hawaagizi kupitia Alibaba

Check out this product on the Alibaba app: NEWLY USED 2022 toyota LAND CRUISER PRADO 2.7 TX L PACKAGE
seller anapatikana marekani...kwa mujibu wa taarifa zake.
jina analotumia MBCS Company LLC

wenye jina hilo wametoa tahadhali kuwa huyo ni scammer
Screenshot_20231113-230032.jpg
 
Hata hiyo link uioni kama ni ya kitapeli? Hao ni vijana wa Nigeria na watakuliza
 
Back
Top Bottom