Kwanini watu hupenda sana soda hasa wanapokuwa wazee?

Kwanini watu hupenda sana soda hasa wanapokuwa wazee?

grysn

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2015
Posts
266
Reaction score
35
Madokta na wadau wengine, naomba nisaidien kujua hili;

Kuna sababu gani zina wafanya wazee ambao umri umesogea kidgo kupenda sana soda hasa aina ya koka kola na pepsi. Nimejaribu tafuta sababu sijapata, naomba tufahamishane!
 
Back
Top Bottom