grysn JF-Expert Member Joined May 4, 2015 Posts 266 Reaction score 35 Sep 25, 2015 #1 Madokta na wadau wengine, naomba nisaidien kujua hili; Kuna sababu gani zina wafanya wazee ambao umri umesogea kidgo kupenda sana soda hasa aina ya koka kola na pepsi. Nimejaribu tafuta sababu sijapata, naomba tufahamishane!
Madokta na wadau wengine, naomba nisaidien kujua hili; Kuna sababu gani zina wafanya wazee ambao umri umesogea kidgo kupenda sana soda hasa aina ya koka kola na pepsi. Nimejaribu tafuta sababu sijapata, naomba tufahamishane!