Mung Chris JF-Expert Member Joined Sep 12, 2017 Posts 3,391 Reaction score 3,849 Aug 2, 2019 #1 Wana Jf, Watu wengu hupendelea sana kula Pilau siku ya Ijumaa, huu utamadumi umetoka wapi na nani mwanzilishi wa utamaduni huu. Kwanini watu huamua kwua ijumaa tu ndio siku ya pilau. Mwenye maelezo yaliyonyooka na historia fupi atusaidie.
Wana Jf, Watu wengu hupendelea sana kula Pilau siku ya Ijumaa, huu utamadumi umetoka wapi na nani mwanzilishi wa utamaduni huu. Kwanini watu huamua kwua ijumaa tu ndio siku ya pilau. Mwenye maelezo yaliyonyooka na historia fupi atusaidie.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Aug 2, 2019 #2 Pilau na Biriani zinapendwa sana kuliwa ijumaa... Kama vile unavyoona supu inavyopendwa sana Jumatatu... Cc: mahondaw
Pilau na Biriani zinapendwa sana kuliwa ijumaa... Kama vile unavyoona supu inavyopendwa sana Jumatatu... Cc: mahondaw
Mbao za Mawe JF-Expert Member Joined May 11, 2015 Posts 23,372 Reaction score 54,943 Aug 2, 2019 #3 Ijumaa wazururaji unakuta siyo wengi kwenye nyumba za watu. Ni tofauti na Jumamosi na Jumapili, ukipika hizo siku mbili ujue mnagawana hisa.
Ijumaa wazururaji unakuta siyo wengi kwenye nyumba za watu. Ni tofauti na Jumamosi na Jumapili, ukipika hizo siku mbili ujue mnagawana hisa.