Kwanini watu hupiga picha na magari lakini huficha 'number plate'?

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
10,904
Reaction score
26,184
Sababu huwa nini na umuhimu wa kuficha ninini?

USSR
 
Wengine hawana sababu maalum, wanaenda na upepo tu, hata ukimuuliza atakujibu "ah basi tu"
 
Kwa ajili ya usalama wao wengine ni most wanted.
 
Papasi ntakuchek baadae bas
Nenda kajikande kwanza
 
Wengi wao wanapiga picha na magari ya watu. Kuepuka fedheha ya kuumbuliwa wanaficha namba.

Wenye magari yao hasa ni nadra kupozi na hayo magari kwa ajili ya picha.

Wale wazee wakuazima sasa, utaona kapost 'dar foleni' kimkono kipo kwenye steering huku hajui hata bei ya tairi ya hilo gari.
 
Ni kweli kabisa, wenye madungu jeshi ya ukweli hawana time na hii mambo ya kupiga picha na magari..
 
Hawataki kuonekana wana ukwasi.
Mfano huyu jamaa bhachu
IMG_20221015_100136.jpg
IMG_20221015_100138.jpg
 
Wewe ndugu mwenye Subaru Forester Dzq namba kapuni nakutafuta😅😅😅😅😅

Au sijui sio gari yake mwe
 
Sababu huwa nini na umuhimu wa kuficha ninini?

USSR
Wengine wanaazima wapigie picha tu, so wanaogopa watu wanaweza ingiza hizo namba kwenye mfumo wa TRA na wakaona mmiliki halali.
 
Wanaogopa watu kuzitumia hizo namba za magari kuwa beep
 
Sababu huwa nini na umuhimu wa kuficha ninini?

USSR
Wee TAGA vipi? Tangu Jiwe na genge lake kuwapokonya watu magari yao inawalazimu wasiweke NP kwasababu ya Trauma ambayo bado wanayo.
 
Wengi wao wanapiga picha na magari ya watu. Kuepuka fedheha ya kuumbuliwa wanaficha namba.

Wenye magari yao hasa ni nadra kupozi na hayo magari kwa ajili ya picha.

Wale wazee wakuazima sasa, utaona kapost 'dar foleni' kimkono kipo kwenye steering huku hajui hata bei ya tairi ya hilo gari.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah.
 
Back
Top Bottom