Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Habari!
Kuna makundi 2 kama si 3 yamesahaulika ingawa wanachokitenda hakina utofauti na ushoga.
1. Wanawake wenye tabia za kiume
Hili kundi limekuwa kubwa sana na linakua kwa kasi. Vibinti vinavaa suruali, t-shirt, na nguo zingine za kiume. Hawa hata misibani hawakai kwa wanawake wenzao. Wanaboa sana hawa watu.
2. Wanawake wanaoingiliwa kinyume na maumbile
Hili halina utofauti na ushoga, tena yawezekana ni baya zaidi ya ushoga, maana njia ya kuwaingilia ipo ila mwanaume aidha kwa tamaa yake au tamaa ya mwanamke wanaiacha ile njia na kubuni njia yao. Jamii hawalichukulii kwa uzito kwakuwa ni wanawake, maana wanaume ndio wapiga kelele.
3. Usagaji
Hili suala pia ni tatizo kama ushoga ila kwakuwa linafanywa na wanawake basi halipigiwi kelele. Mapenzi ni baina ya jinsia 2 tofauti na si vinginevyo.
Je, jamii imezibagua hizi dhambi na kuzicategory?
Je, jamii imejaa unafiki kwa kuibariki dhambi hii na kuikemea dhambi ile?
Ushoga ni mbaya tena sana, unaondoa utu wa mtu ila hauna utofauti na usagaji na hawa mabinti sijui mnawaita ma tomboy ambao wanaikimbia jinsia yao.