JamiiTalks
JF Advocacy Team
- Aug 7, 2018
- 685
- 1,124
Shida kubwa ya kupata kiasi kikubwa cha fedha isivyo halali (haramu) ni kwamba huwezi kuzitumia fedha hizo kwenye mazingira ya kawaida
Watu wanaojihusisha kwenye matukio ya kihalifu hawawezi kutumia fedha zao kwa uhuru, kwasababu vyombo vya sheria vitawafuatilia na kuzuia matumizi yake
Ndiyo maana watu wanaohusika na matukio haya haramu hulazimika kutafuta njia za 'panya' ili waweze kutakatisha fedha zao kabla ya matumizi
Upvote
0