Kwanini watu hutakatisha fedha?

Status
Not open for further replies.

JamiiTalks

JF Advocacy Team
Joined
Aug 7, 2018
Posts
685
Reaction score
1,124


Shida kubwa ya kupata kiasi kikubwa cha fedha isivyo halali (haramu) ni kwamba huwezi kuzitumia fedha hizo kwenye mazingira ya kawaida

Watu wanaojihusisha kwenye matukio ya kihalifu hawawezi kutumia fedha zao kwa uhuru, kwasababu vyombo vya sheria vitawafuatilia na kuzuia matumizi yake

Ndiyo maana watu wanaohusika na matukio haya haramu hulazimika kutafuta njia za 'panya' ili waweze kutakatisha fedha zao kabla ya matumizi
 
Upvote 0
sikU hizi ukikutwa na uhujumu UCHUMI,

hapo hapo umetakatisha fedha na hapo hapo pia umeshaunda genge la uhalifu.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…