Kwanini watu wa dini hawafanikiwi katika maombi yao?

Kwanini watu wa dini hawafanikiwi katika maombi yao?

Manfried

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2024
Posts
1,288
Reaction score
4,074
Watu wa dini asilimia kubwa hawafanikiwi Kwa sababu zifuatazo .

Huu ulimwengu unajiendesha wenyewe .

Unachobidi ni kuupelekea ulimwengu ambacho wewe unahitaji ili uweze kukipata .

Mfano haiwezekani wewe kila Ahsubui uianze siku Kwa kugombana na shetani , wachawi n.k then hapo hapo uombe neema na baraka hautapata majibu .

Tumia kanuni hii
Soma mfumo wa karma unavyofanya Kazi then anza kuufatisha utaona matokeo Kwa haraka Sana.

Ukitaka upendwe na watu anza wewe kuwapenda watu

Ukitaka kupata Kazi anza kuona kuwa kazi unayo na hata ukiona nafasi wewe haufiti Ila anafiti MTU mwigine jaribu kumtafuta umconnect.

Usipende Kuwa MTU wa kusubiri kupewa bali kuwa mtohaji Sana for the needs.

Kinachowafanya watu wa dini kutokufanikiwa ndo hicho MTU anajiita mlokole au sheikh Ila mchoyo , anachukia watu na kupenda watu wa imani yake pekee this is hell.

Be positive universe IPO kazini
 
Maombi ni illusion. Na hakuna Mungu, Yesu au Allah wa kujibu maombi.

If prayer without work is nothing then prayer itself is nothing.
 
Back
Top Bottom