GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Ni nadra sana kuona Watu wa ' Medani ' hizi Kubwa tatu ( 3 ) nchini Tanzania Kuoana wao kwa wao na kila unayekutana nae na ukimuuliza tu atakuambia ni bora asioe kuliko Kuona mwana ' Medani ' mwenzeke kwa sababu ambazo kiukweli wengi huwa hawazisemi na wanazificha.
Medani zenyewe hizo kubwa tatu ni hizi zifuatazo:
Nawasilisha.
Medani zenyewe hizo kubwa tatu ni hizi zifuatazo:
- Ile yenye Makao Makuu yake Upanga japo sasa inahamia Dodoma
- Ile yenye Makao Makuu yake Oysterbay jirani ya Kanisa la Mtakatifu Petro
- Ile yenye Makao Makuu yake Posta mpya jirani na Jengo la Exim Bank
Nawasilisha.