Kwanini watu wanacheat?

Binti Maringo

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2007
Posts
2,804
Reaction score
96
you women are so ivo...

halafu sio "grid"....nadhani ulimaanisha "greedy" sio?

Yeah hivo hivo greedy!...

Not all women are ivo..there nice and smart women out there sema tuu samaki mmoja kaiodha then wote wameodha....na hiyo inaharibia status ya strong women who are out there trying to make it for their own bila ya kuhongwa na wanaume wala nini....independent women in other word...Lakini pia i dont blame hao wanawake ambao wana cheat wanaume zao...kuna different reason amabz zinafanya pia mwanamke kucheat..
May be hatoshelezwi
may be hayupo happy kwenye tendo la ndoa
may be huyo mumo anamtesa au lah hamfanyi akawa happy kila siku ana mdiscourage
 

Wewe Cupcake, uko ok leo?
 

Watu wengine huibia kwa sababu wanatamani tu vingine na si kwamba kuna kitu wanakosa kwenye mahusiano yao. Chukulia tu hata mambo mengine katika maisha. Kwani kila siku wewe unakula nyama ya ng'ombe? Ukiila kila siku itafika siku itakukinai na utataka ya mbuzi au samaki. Same thing na relationships. Baada ya kuwa na mtu huyo huyo kwa muda mrefu ipo siku utapata katamaa ka kumjaribu mwingine just for a change...I know it's scary and sad, but in my opinion, it's true.
 


So you are applying ule msemo wa wanaume wanaopenda kusema kuwa huwezi ukawa unakula maharage kila siku utakinaiwa....man i don't believe in that theory...hakuna kitu kinachokinaisha kabisa kama umekinaishwa then make way to do it better..try mbinu zingine za kufanya iwe better than ilivyokuwa.....
 

Hakuna kitu kinachokinaisha? Are you kidding me? I'm just being as realistic as I can be...

Kama ni maharage kila siku sawa, utayaunga na tui la nazi leo, kesho utatumia siagi ya karanga, keshokutwa utayachanganya na nyama ng'ombe....wiki ijayo utaka kuyachanganya na dagaa...hapo ndo utakapoanza kuharibu sasa....
 
Mie nashangaa Waschana wa kuoa hata bikira wapo kibao..yet unakuta mtu anahangaika na mke wa mtu!

Maadili yako wapi?
 

I am not kidding and i am positive kuwa if youa re willing to make thing work it will work...sema tamaa za dunia zimefanya watu wafikirie kuwa otherwse kama wewe unavyosema mbona a lot of our parents mpaka leo bado wapo na wana deal na wamama zetu hadi leo hii...thet still stand strong to each other...ila ukiweka na material stuff kwenye ndoa that is when itakapoanza kupinda na kufanya maporomoko na kutoelewana ndani ya nyumba....if you want to make things work ni trust and support...
 

oh trust, even in the face of infidelity, you can still try to make things work if you are willing to make things work and if you forgive one another.

hata ukiangalia wazazi wetu, pamoja na kwamba wengine bado wako pamoja lakini haina maana ya kwamba mmoja wao hakuwahi ku stray. Hapa kuna mawili: mmoja ali cheat na hakubambwa au ali cheat akabambwa lakini mwenzake akamsamehe au huyo mwenzake naye akaenda ku cheat na wote wakawa even stevens.
 


The only thing first you need to do ni kumtanguliza mungu kwanza...Haya mambo ya ndoa yako so complicated kama hutamtanguliza mungu mbele...

Na pia sometimes its wise kama ukitumia philosophy...
 
Ewe Kally, na awe Niani, kitu gani kinawafanya msioane,
Elimu mnayo ya kutosha, hata ng'ambo mkaenda na hamkurudi,
Ona watoto wa nyuma, wameolewa ............
 
Ewe Kally, na awe Niani, kitu gani kinawafanya msioane,
Elimu mnayo ya kutosha, hata ng'ambo mkaenda na hamkurudi,
Ona watoto wa nyuma, wameolewa ............


Uh!.....?????????????????/
 
Kwa maana unataka kusikia ndio wapo alafu ufanye nini?

Nataka nimsaidie ndugu yangu Masanilo....anataka demu bikira kwa sababu hajawahi kumbikiri demu yoyote. Mwenyewe eti anaona fahari kufanya hivyo....
 
Nataka nimsaidie ndugu yangu Masanilo....anataka demu bikira kwa sababu hajawahi kumbikiri demu yoyote. Mwenyewe eti anaona fahari kufanya hivyo....

Ndiyo wanavyoanzaga hivyo hivyo!....msaada kwenye tuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…